Isionekane nini boss.Ebu ongeza nyama tafadhaliHili la wabunge feki wa Chadema, Uongozi wa juuuu kabisa wa Chadema, wanataa isiyoonekana na wanachama wengine
HahahaaaMimi sijageuzwa kuwa zuzu na mtu yeyote yule. Naomba unitoe katika hao Watanzania Mazuzu.
Tena bonge la jinga bure kabisa !!!!Huyo ndio kubwa la mazuzu bungeni ......muone alivyo mnafiki
Jiwe atake asitake tutamuongezea muda
View attachment 1759619
Mimi tangu niamue kutokuwa na chama nina uhuru kupindukia.Habari zenu wana Jamvi.Nimekaa nawaza sana siasa za hapa nyumbani Tanzania,nawaza namna Siasa inavyotugeuza itakavyo,nawaza namna tunavyoimbishwa nyimbo mpya mpya kila siku na wanasiasa.Nimeenda mbali zaidi nikawaza kwanini watanzania tumekuwa na maswali sana juu ya uwepo wa wabunge feki bungeni?Kwann Chadema wamekaa kimya juu ya rufaa za hawa wabunge wanaodaiwa kuwa HEWA?Tukisema Ndugai,Mahera na Mbowe lao moja tutakuwa tumekosea wapi?
Wataalamu wa Siasa njooni mnisaidie.
Mkuu, hao jamaa wa juu! Wana tochi inayowamlikia wao tu ili Hali wanachama wao wako gizani wasione, wamefumbwa kwenye koti la maamuzi ya balaza kuu la Chadema,Isionekane nini boss.Ebu ongeza nyama tafadhali
Nchi yangu ya ajabu sana.Mkuu, hao jamaa wa juu! Wana tochi inayowamlikia wao tu ili Hali wanachama wao wako gizani wasione, wamefumbwa kwenye koti la maamuzi ya balaza kuu la Chadema,
Siasa ndio iko hivyo, kuna wakati Masikini huchangishwa fedha ili viongozi wa juu wakafanyie sherehe
🤣🤣🤣🤣kweli kabsa.Tena bonge la jinga bure kabisa !!!!
Au nasema uongo ndugu zangu"
Tena mimi anitoe haraka sanaMimi sijageuzwa kuwa zuzu na mtu yeyote yule. Naomba unitoe katika hao Watanzania Mazuzu.
Acha uzuzu ww bwege chadema walishawavua ubunge, kumbuka hata mahakamani rufaa inaweza kutupiliwa mbali km haina mashiko. CCM mlirogwa na nani mpaka mjitoe akili na kukojolea katiba? Nakumbuka mlishasema tundu Lissu alijimiminia risasi, mkasema azohori alijiteka na ben saa8 alijipoteza.Habari zenu wana Jamvi.Nimekaa nawaza sana siasa za hapa nyumbani Tanzania,nawaza namna Siasa inavyotugeuza itakavyo,nawaza namna tunavyoimbishwa nyimbo mpya mpya kila siku na wanasiasa.Nimeenda mbali zaidi nikawaza kwanini watanzania tumekuwa na maswali sana juu ya uwepo wa wabunge feki bungeni?Kwann Chadema wamekaa kimya juu ya rufaa za hawa wabunge wanaodaiwa kuwa HEWA?Tukisema Ndugai,Mahera na Mbowe lao moja tutakuwa tumekosea wapi?
Wataalamu wa Siasa njooni mnisaidie.
na kama wanadai wamewavua uanachama huku hawataki kusikiliza rufaa zao sasa kinachowasumbua nini ? mmemvua uanachama siyo mwanachama wenu kinachowafanya waanze kutaka kumsumbua mama avunje katiba kuingilia mhimili wa bunge ni nini?
Hapa ndo patamu. Badala ya kusikiliza rufaa zao wanakimbilia kulishinikiza Bunge liwafukuze. Ilitakiwa kwanza wamshinikize Mbowe aitishe kikao cha kusikiliza rufaa zao kwa mujibu wa katiba yao inavyosema. Halafu kama wanazitupilia mbali ijulikane kwamba wamezikataa rufaa zao.
Halafu baada ya hapo , wamuandikie Spika kuhusu kuwavua uanachama wabunge wao, siyo kuongea kwenye mitandao. Spika hawezi kufanya kazi kwa mitandao.
Jibu hoja na wala usibwabwaje.Mara nyingi wanaoandikaga ujinga huu ni watu vilaza sana waliokuwa wanaruka dirishani mwalimu wa hisabati akiingia kwa kifupi una tatizo kubwa sana kwenye ubongo wako hafu nahisi ulikuwa unatoroka darasani kila siku haujui unachoongea ni nn umekaririshwa maneno tu rubbish
Ndiyo maana akamuita Spika Ndugai katika kikao cha "siri" pale Ikulu ya Chamwino DodomaRais yuko njia panda kwenye hili. Akisimamia katiba upande wa chama chake utanuna sana...! Sana sana anachoweza kufanya ni kufunika kombe....!