BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

Sasa hivi kuna uhuru wa vyombo vya habari hadi raha.ITV wameirusha hii clip kwenye taarifa ya habari.Ingekuwa kipindi cha Mwenyekwenda zake ,walahi wasingethubutu kurusha!!
Ingekuwa na leseni TCRA wameshachukua na wazee wa kazi waneshaingia studio au ofisini kuchukua vifaa kama laptop, camera n.k na kuweka chini ya ulinzi kuanzia mmiliki, watendaji wote hasa Chief Editor. Hakika Mungu tunakushukuru mno. Hatutasahau March 2021.

Mungu mlinde Kila hatua Rais wetu mpendwa SSH. Yaani aishi miaka mingi. Legacy ya kiongozi siyo Barabara bali ni alichofanya kwa mioyo ya wananchi bila kufutika. Uhuru kurejea na kumaliza udikteta ni Legacy haitasahaulika. Ninaamini mambo mazuri zaidi yanakuja ikiwemo kurejesha mahusiano na majirani na dunia.
 
angalau kuna nafuu sana
 
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Uo mwongozo haupo kikanuni wala kisheria, Wapi mwongozo huo ulitumika? Kama unataka kusiwe na kukomoana, Je mbona hoja ya kwamba Mbunge asilazimike kuwa mwanachama wa chama cha siasa, awe mgombea huru mliikataa?
 
HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Too low.
Kwako swala lolote huwa ni kuwahiana na wivu, hakuna katiba, sheria wala haki.
Tatizo hili huwa linatokana na makuzi yaliyopwaya kwenye upendo ndani ya familia.
 
Hii vita CHADEMA inakwenda kusambaratika

Vita hii hawa akina mama wameivalia njuga baada ya kutapeliwa

Viti maalumu waliotakiwa wapewe ubunge kuna kundi la kwanza la wake na mahawara wa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kundi hili nyuma yao yuko MBOWE na Tundu Lisu Kundi la pili ni la akina mama walioipigania CHADEMA kufa na kupona miaka yote wakiongozwa na Halima Mdee na nyuma yao yuko Mnyika

Kundi la Halima Mdee liliingia bungeni kwa barua aliyoandika Mnyika baada ya kuona ushetani wa kundi la Mbowe na Lisu wanaotaka kuufanya waingize wake zao na hawara zao na kuwaacha wapambanaji.

Ukiangalia list yote iliyoko bungerni ya CHADEMA ndio cream ya CHADEMA KUTOKA KONA ZOTE ZA NCHI BILA UKABILA WALA NINI.wALITEULIWA KI UMAKINI SANA

Sasahilo kundi la Lisu na Mbowe wana hasira wanataka wawatoe lakini kuna kigingi cha baraza kuu

Mbowe na Lisu hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu sababu hilo kundi la walioko bungeni wana nguvu kubwa mno kule baraza laweza fikia azimio la kumvua uongozi Mbowe na Lisu kesi ikifika kule

Kinachotakiwa msajili awashinikize waitishe kikao cha baraza kuu wamalizane huko

Lakini the way I see kunaenda zuka mgogoro mkubwa ambao utaisambaratisha CHADEMA NA KUMFUNGASHA VIRAGO Mbowe na Lisu kama walivyofungashwa virago MAALIM SEIF na Duni Haji CUF
Aisee!! Kama haya ni ya kweli,... basi ni sawa kusema siasa ni mojawapo ya michezo michafu sana duniani. Wanasiasa waaminifu na wa kweli kama wapo, basi watakuwa labda 1% moja dunia nzima.
 
Wewe ni muongo sana unadhani unaongea na wajinga wenzako. Halima aligombea lini nafasi ya viti maalum?

Halima alikuwa mgombea Jimbo la kawe, how comes amekosa Kaee akaenda kuchukua viti maalum ingali huko kuna members walishachaguliwa baada ya kugombea kwenye makundi ya viti maalum?

Acha porojo basi.
 
Muongo huyo anaongea ujinga kabisa, soma maelezo yangu kwenye post hapo juu.
 
Aisee!! Kama haya ni ya kweli,... basi ni sawa kusema siasa ni mojawapo ya michezo michafu sana duniani. Wanasiasa waaminifu na wa kweli kama wapo, basi watakuwa labda 1% moja dunia nzima.
Huyu masikini asikudanganye
 
Wewe ni muongo sana unadhani unaongea na wajinga wenzako. Halima aligombea lini nafasi ya viti maalum?

Halima alikuwa mgombea Jimbo la kawe, how comes amekosa Kaee akaenda kuchukua viti maalum ingali huko kuna members walishachaguliwa baada ya kugombea kwenye makundi ya viti maalum?

Acha porojo basi.
Mfano mmojawapo Joyce Mukya tueleze alipewaje ubunge viti maalumu 2015 wakati hakugombea popote iwe kwenye jimbo au kugombea viti maalumu ilikuwaje akapewa ubunge na Mbowe?
 
Aliyekudanganya kwamba Mbowe ndiye mgawa viti maalum ni nani ?
 
Back
Top Bottom