Bavicha yatoa Tamko kuhusu Wanafunzi waliyofukuzwa vyuo vikuu

kilichotokea kwa wanafunzi hawa ni sawa na kile kilichotokea kwa madiwani wa5 arusha.sheria zifuatwe.na nyie mnaohamasiSha migomo vyuoni dawa yenu ipo jikoni.
Na hiyo migomo iliyokuwa ikitokea enzi hizoo za chama kimoja nani aliyekuwa akihamasisha?poor mind.
 
Maandamano,migomo,hasira,chuki,na laana za wananchi,wanafunzi wakulima,wafanyakazi nk havitakwisha kwa kuwafukuza,kuwatisha au kuwatenga kwa aina yeyote ni lazima serikali iamke sasa ijiangalie,na ijifunike utupu wake vinginevyo itaendelea kuwachukia wale waowatuhumu kuwa wana wachungulia na kuucheka utupu wao,kwani ni lazima wajue kuwa hata baada ya hawa kuondoka wapita njia pia wataweza kuendelea kuwacheka hivyo kujiundia idadi isiyo rasmi/sahihi ya wanaodhani kuwa maadui wao ni wakati huu pekee iliyo nayo serikali ya ccm kugundua kuwa adui yao namba moja si cdm wala bavicha ila adui yao mkubwa ni uroho wao ulioyapofusha macho yao hivyo kubaki wakiwashangaa/kuwachukia wale wote wanao nyooshea vidole na kuucheka utupu wao huku wenyewe wakishindwa kukubali kuwa wapo uchi.
 
nyie bavicha sijui basata,acheni Uchoche zi.mtu mwny akili timamU hawezi kuunga mkono huu upupu.nyie ni njaa tu inawasumbua.kawateteeni kwanza madiwani watano arusha walionyanyaswa,kuonewa na hatimaye kubakwa haki yao ya kikatiba ya kushiriki siasa na kuleta maendeleo apa nchini.kilichotokea kwa wanafunzi han
Ni upi UTIMAMU unauzungumzia mkuu?ni huu wa kutozielewa au kushindwa kudai haki zako kwa woga,kujipendekeza au kuridhika na makombo unayotupiwa na mabwana wakubwa?kama ndiyo yeyote aliye na akili nzuri. Mwenye uwezo wa kupima maamuzi atakuwa si timamu kwa vigezo vya utimamu unaoutaka wewe.
 
Sasa mtawasaidiaje hao wanafunzi wapelekeni India wakasome ...nyie ndio mmeatuma wafanye maandamano wasaidieni:bange:

Hata akina Saif Islam Ghadafi walikuwa kama wewe lakini leo wametoweka...
 
bavicha ni sawa na mbwa wa mwny nyumba tu kelele nyng hana pa kwenda kula anamfurahisha mfugaji.
Hapooo unawachokoza kaka zako uvccm angalia usijekosa pa kutokea kwani hao mbwa [uvccm]kiukweli wana hasira kwelikweli wanajua [japo aibu ina wa limit] jinsi mabwana zao wanavyo watumia vibaya huku wenyewe mabwana zao wakiendelea kujitafunia jasho na damu zao[uvccm]Kumbuka kilichokuwa kitokee dodoma utaweza kupata picha halisi kuwa Siku moja iliyo karibu vijana hawa watakuwa UMOJA WA VIJANA HURU
hapo ndo itakuwa verse ya mwisho huku chorus ikiwa imesahaulika shtuka mzee.
 
c muanzishe chuo kama mnaona mnaonewa hata cc 2nasoma lazime ufuate taratibu,heche acha ku2mia upupu kwenye ukwel mbona unaudhalilisha ualimu au
Vipi kipindupindu unasoma kivukoni?ndio sbb viongozi wako wanaharisha maamuzi.
 
Back
Top Bottom