BAVICHA wapata baraka za Mwalimu Butiama

lazaro mayan

Member
Aug 28, 2015
90
64
BAVICHA WAPATA BARAKA ZA MWALIMU BUTIAMA.

Baraza la vijana wa Chadema, Taifa leo wametembelea katika kaburi la hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa na ujumbe maalum.

Timu hiyo ya Viongozi sita imeongozwa na M/kiti wa BAVICHA Taifa, Patrobas Katambi, Katibu mkuu Julius Mwita pamoja na Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa, Edward Simbeye.

Wamefuatana na M/kiti wa BAVICHA mkoa wa Mbeya,George Tito Mjumbe wa baraza kuu Joseph Kasambala na Katibu wa BAVICHA mkoa wa Temeke Hilda Newton.

Bavicha walikwenda kupokea baraka zote kutoka katika Kijiji cha Mwitongo alipo zaliwa muasisi wa Demokrasia na mfumo wa vyama vingi nchini hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere.

Lengo la BAVICHA kufika maamuzi hayo ni baada ya kuona Demokrasia aliyoiacha Mwalimu inazidi kukanyagwa na watawala, hali inayopelekea taifa kurudi enzi za ukoloni.

Kilio hicho cha Bavicha kilipokelewa na Chief Wanzagi,mkuu wa ukoo wa wazanaki na msimamizi mkuu wa familia ya Mwalimu na makumbusho ya Mwitongo yenye historia kubwa katika nchi hii.

Pamoja na hayo Bavicha wamepata fursa ya kueleza kwa kina,juu ya Mwenendo mbovu wa watawala kuendelea kukandamiza Uhuru wa vyombo vya habari,haki za binadamu na utawala bora.

Baada ya ujumbe huo mzito Bavicha waliomba baraka za Chief kwenda kutimiza adhima yao ya kulisaidia jeshi la Polisi kuzuia mkutano haramu wa Ccm tarehe 23 july na baada ya baraka hizo sasa kazi imeanza kuelekea Dodoma kuwafunda Ccm jinsi ya kutii sheria bila shuruti,kwakuwa kuzuia mikusanyiko yote ya Kisiasa ni agizo la Raisi na lazima kauli ya mkuu wa nchi itekelezwe kwa vitendo.

Imetolewa July 06

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
 
Mungu awalinde na awaepushe na hao mashetani na baba zao
 
nasubiri kwa hamu tukio hilo litakalo kuwa la kihistoria kama kupatwa kwa jua/mwezi!
 
Wanampima magufuli kujua ni dikteta kweli au dikteta uchwara kama wanavyomuita..naomba vijana kama ishirini tu wapigwe ulemavu wa kudumu ili iwe fundisho kwa wengine kuacha un.yu.mb.u
 
Mwisho arusha
 
Hata mgombea wenu alienda kuomba baraka za Mwalimu wakati wa kampeni...ki ufupi ni kwamba hakuzipata
 
Wapiga dili wanataka mapesa ya Lowassa Phase III sidhani kama atatoa, pukutisheni ruzuku tu.
 
S
Wanampima magufuli kujua ni dikteta kweli au dikteta uchwara kama wanavyomuita..naomba vijana kama ishirini tu wapigwe ulemavu wa kudumu ili iwe fundisho kwa wengine kuacha un.yu.mb.u
Shimo unalowachimbia wenzio ndilo utakalotumbukia wewe na roho yako ya kishetwani. Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom