Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Kwa niaba ya Bavicha Taifa
Tunakupongeza na Hongera sana, Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB)
Hon. F. A. Mbowe - Mp kwa kuteua serikali mbadala/kivuli makini, tunawaomba sana Mawaziri na Manaibu wote mlioteuliwa mzitendee haki nafasi mlizopewa, onyesheni kwamba UKAWA (CDM,CUF&NCCR) ni serikali mbadala.
Patrick Ole Sosopi
M/Kiti Bavicha Taifa