BAVICHA wamjibu Kamanda Sirro kuhusu Mbowe kutakiwa kuripoti Polisi

Mbowe hawezi kuwa na hadhi ya waziri mkuu hata siku moja.Naona vijana huku ni kujifariji kama wale wakevi wa madawa.

Anayo ndiyo sababu hata Sirro mwenyewe anabeep tu.Unajua maana ya kiongozi wa KAmbi rasmi ya Upinzani??Kama hujui nenda kamuulize Tulia
 
Sirro tukushauri katika hili, usifanye siasa kwa wanasiasa maana,utaumbuka mchana kweupe hakuna aliye juu ya sheria na hakuna anaepaswa kutumia cheo chake kwenda kinyume cha sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa, rudi angalia sheria inasemaje kuhusu ( WITO) vinginevyo utatufanya tuamini na wewe ni wale wale wanaotumika tu kwa kauli za kina bwana mkubwa.
Mbona mnajichanganya madogo. Ivi mmesikia kuwa kinaitwa chama? Kama ni kutumia au kuuza atakuwa ni yeye na sio chama. Yaani mnavyoliparamia kwa mbele hili suala mtakimaliza wenyewe kwa kulifanya chama chote kionekane mnashiriki. Jipimeni
 
Wakili Msomi unaandika kama mimi nisiye Msomi. Tupia kifungu cha sheria kinachompa mamlaka uliyosema anayo. Vinginevyo , shut up
Siko darasani ukitaka amini usipotaka to hell with your ignorance. Ukweli uko pale pale na sheria haibadiliki kwa sab sijakutumia kifungu.
 
Imani yangu ni kwa Bwana Yesu na sio kwa wasiojitambua na kutetea utwala wa machale badala ya kupigania utawala wa sheria
Utawala uliopo ni wa sheria lkn kukosea ni hulka ya binadamu wote na ndio maana kuna mamlaka za kukemea kuwajibisha na kutoa adhabu.
 
Usiwe mshamba ww. Kunakitu kinaitwa Simu ya Maandishi anaweza kuandikiwa mtu yoyote kuhitajika Polisi. Hasa watumishi wa Umma wanapofanya makosa.
Hakuna kitu kama hicho polisi nimefanya jeshi la polisi kwa miaka 10 kabla sijawa wakili. Polisi kuna rb na kukamatwa halidhalika kujulishwa kwa simu na njia zingine za media pekee mahakamani kuna summons zinatolewa kwenye kesi za madai na shahidi pekee au arrest warrant
 
Gwajima na Manji walijipeleka wenyewe tena siku moja kabla lkn wamewang'ang'ania zaidi ya wiki. Itafika wakati bora usubiri kukamatwa make awamu hii hata ukitii sheria bila shuruti inakuwa kazi bure. Kazi kweli kweli.
 
Kama wengine wanaitwa na polisi na wanakwenda kuripoti, Mbowe ni kitu gani hata asiitwe na polisi na akikaidi asikamatwe?
 
Sirro tukushauri katika hili, usifanye siasa kwa wanasiasa maana,utaumbuka mchana kweupe hakuna aliye juu ya sheria na hakuna anaepaswa kutumia cheo chake kwenda kinyume cha sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa, rudi angalia sheria inasemaje kuhusu ( WITO) vinginevyo utatufanya tuamini na wewe ni wale wale wanaotumika tu kwa kauli za kina bwana mkubwa.

Usi undermine nguvu ya siasa mkuu, iwe kwenye uchumi, sosholojia na ama kwingineko!! Politics is a power game Chief
 
BAVICHA : SIRO ACHA UMBUMBU WA SHERIA.

Kwa mamlaka yako ya Kamishna wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, tunaamini kabisa una uelewa mkubwa sana katika maswala ya kisheria angalau ABCD,lakini CV zako zinatuonesha wewe ni Mwanasheria kwa taaluma.

Siro wewe unatambua,nchi hii inafuata Misingi ya sheria na utawala bora na unajua utaratibu wa kumuita FREEMAN MBOWE kama Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani nchini lakini,pia kama kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni,mwenye hadhi ya Waziri mkuu kiitifaki,huwezi kumuita kama unaita jambazi.

Sirro wewe una weledi katika utendaji kazi na unamafunzo yanayo kuwezesha kufanya kazi zako,na katika mafunzo yako tunaamini ulifundishwa kuheshimu mihimili mingine,ili kuheshimiana,kuleta nidhamu ya kiutendaji na kuepuka migongano ya kimaslahi kwa namna moja au nyingine, nadhani ulisikia kauli ya Spika wa bunge juu ya ukamataji wa Wabunge,mbona hujatekeleza ??. hivi uliandika barua ya wito kama utaratibu unavyotaka au umeona na wewe ufanye siasa kwa wana siasa??.

Sirro unataka kutuaminisha sisi vijana wa CHADEMA na wanachadema wote ndani na nje ya nchi ni M/kiti wetu tu ndio hajafika katika yale majina64 yaliotajwa?? Mbona ni wewe kwa mdomo wako umekiri mpaka sasa wamefika watu watano Kati ya 64?? na hata kama wamezidi hapo ni MBOWE tu ndio anastahili kuitwa ndani ya saa48 tena kupitia Media ??

Sirro tukushauri katika hili, usifanye siasa kwa wanasiasa maana,utaumbuka mchana kweupe hakuna aliye juu ya sheria na hakuna anaepaswa kutumia cheo chake kwenda kinyume cha sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa, rudi angalia sheria inasemaje kuhusu ( WITO) vinginevyo utatufanya tuamini na wewe ni wale wale wanaotumika tu kwa kauli za kina bwana mkubwa.

Imetolewa February 19

Idara ya habari na uenezi
BAVICHA Taifa.
Tanzania hii imekuwa tia maji tia maji na serikali yake.

Polisi ni watumwa tu wa mtu
Sirro tukushauri katika hili, usifanye siasa kwa wanasiasa maana,utaumbuka mchana kweupe hakuna aliye juu ya sheria na hakuna anaepaswa kutumia cheo chake kwenda kinyume cha sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa, rudi angalia sheria inasemaje kuhusu ( WITO) vinginevyo utatufanya tuamini na wewe ni wale wale wanaotumika tu kwa kauli za kina bwana mkubwa.
 
Kila siku kulalamika tuu, kwa zaidi ya miaka 20 mnalalamika tuuuu. IF YOU CAN'T BEAT THEM JOIN......Nyienyie ndiyo wa kupokea mamuluki na kujiua wenyewe. Na nyie jaribuni upande wa pili hata siku moja muone kama mtafanikiwa acheni kulilia, hamueleweki mnasimamia nn kuanzia ngazi ya chama hadi ngazi ya taifa. There is no more time for drama, if you want to change others, change yourself first. MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI.
 
Kwel Kabisa makamanda
Police republic mapolisi wamepewa mamlaka yote dhiei ya wenye mwili katiba imekuwa kama gazeti la udaku kwa serikali hii.
Mamlaka yanatokana na katiba lakini rejea ya katiba ni pale ambapo wanataka ufuate matakwa yao na sio wao kufuata matakwa ya katiba.
Polisi state perse
 
Back
Top Bottom