BAVICHA wamjibu Kamanda Sirro kuhusu Mbowe kutakiwa kuripoti Polisi

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
BAVICHA : SIRO ACHA UMBUMBU WA SHERIA.

Kwa mamlaka yako ya Kamishna wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, tunaamini kabisa una uelewa mkubwa sana katika maswala ya kisheria angalau ABCD,lakini CV zako zinatuonesha wewe ni Mwanasheria kwa taaluma.

Siro wewe unatambua,nchi hii inafuata Misingi ya sheria na utawala bora na unajua utaratibu wa kumuita FREEMAN MBOWE kama Kiongozi wa chama kikuu cha Upinzani nchini lakini,pia kama kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni,mwenye hadhi ya Waziri mkuu kiitifaki,huwezi kumuita kama unaita jambazi.

Sirro wewe una weledi katika utendaji kazi na unamafunzo yanayo kuwezesha kufanya kazi zako,na katika mafunzo yako tunaamini ulifundishwa kuheshimu mihimili mingine,ili kuheshimiana,kuleta nidhamu ya kiutendaji na kuepuka migongano ya kimaslahi kwa namna moja au nyingine, nadhani ulisikia kauli ya Spika wa bunge juu ya ukamataji wa Wabunge,mbona hujatekeleza ??. hivi uliandika barua ya wito kama utaratibu unavyotaka au umeona na wewe ufanye siasa kwa wana siasa??.

Sirro unataka kutuaminisha sisi vijana wa CHADEMA na wanachadema wote ndani na nje ya nchi ni M/kiti wetu tu ndio hajafika katika yale majina64 yaliotajwa?? Mbona ni wewe kwa mdomo wako umekiri mpaka sasa wamefika watu watano Kati ya 64?? na hata kama wamezidi hapo ni MBOWE tu ndio anastahili kuitwa ndani ya saa48 tena kupitia Media ??

Sirro tukushauri katika hili, usifanye siasa kwa wanasiasa maana,utaumbuka mchana kweupe hakuna aliye juu ya sheria na hakuna anaepaswa kutumia cheo chake kwenda kinyume cha sheria na utaratibu tuliojiwekea kama Taifa, rudi angalia sheria inasemaje kuhusu ( WITO) vinginevyo utatufanya tuamini na wewe ni wale wale wanaotumika tu kwa kauli za kina bwana mkubwa.

Imetolewa February 19

Idara ya habari na uenezi
BAVICHA Taifa.
 
Tatizo awamu hii watu wanajitoa akili ili kumfurahisha baba nkwabi......
 
Ooops! jamani tufike wakati tufahamu kuwa nchi hii ilikuwa huru miaka 55 iliyopita. Hebu tuheshimiane. Tumeweka sheria, taratibu, na kanuni za kuita watu kwa kitu fulani. Tusichefuane kwa matamko ya sifa. Tufuate sheria jamani. Vyeo vitapita lakini taaluma na Tanzania itabaki.
 
Hata waziri mkuu ameonya watu wasitangazwe bila kuwa n ushahidi. Ss siro unapambana n Mh Mbowe unaushahidi au ndio yale ya Gwajima. Kwann hutaki kufuata utaratibu? Mm naona haya majina yakabidhiwe Sianga afanye upelelezi wenye makosa washitakiwe. Tuache mzuka wa media. Watanzania wote hatupendi madawa ya kulevia n tunaunga mkono juhudi za serkali. Tufuate taratibu , kanuni n sheria za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom