BAVICHA vs UvCCM: Walipo watoto wa Viongozi wa CCM na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAVICHA vs UvCCM: Walipo watoto wa Viongozi wa CCM na CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Apr 29, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WanaJF,

  Kuna msemo niliwahi kuusoma zamani, 'mimi sio nyoka kwa sababu baba yangu hakuwa nyoka'...

  Pia, wengi wetu (sio wote) ni wakristo au waislamu kwa sababu wazazi wetu ni wakristo au waislamu. Au kwa sababu tumelelewa kwenye mazingira hayo.

  Hali hiyo imewakuta wengi linapokuja suala la ufuasi wa vyama hasa kwa vijana ambao wazazi wao walikuwa au ni viongozi wa ccm. Ukiangalia vijana walio kwenye baraza la vijana la chadema na wale walio kwenye umoja wa vijana wa ccm utaona hilo. Hata wale ambao umri umesogea kidogo na sio vijana tena.

  Hapa nitatoa mifano michache;

  1. Ridhiwani Kikwete

  2. January Makamba

  3. Nape Nnauye

  4. William Malecela

  5. Hussein Mwinyi

  6. Abdulla Mwinyi

  7. H. Kawawa

  8. Mboni Mhita

  Hawa ni baadhi ya wengi ambao kuwa kwao CCM ni dhahiri kumetokana na malezi na sio kwa kutaka kwao. Ndio maana wanafuata dini na makabila ya wazazi wao. Wamelazimika pia kufuata 'uanachama' wa wazazi wao.

  Swali linabaki inawezekanaje wakawa na lolote jipya? Je wana uwezo kiasi gani kuwa na mawazo binafsi? Itawezekanaje wajivue gamba walilozaliwa nalo?

  Kuna watu kama kina Makongoro Nyerere waliwahi kwenda tofauti lakini baadae tena wakarudi walikotoka.

  Freeman Mbowe ni mmoja wa watoto wa makada wa CCM ambae ameweza kusimama na kubaki kwenye upinzani daima. Je ni kutokana na kutokuwa na njaa? Ni kutokana na yeye kuweza kufanya biashara zake bila kutegemea mzazi hivyo kuweza kuwa na mawazo binafsi? Au ni influence ya Mzee Mtei?

  Kikubwa zaidi ni kwamba hakuna mtoto wa kiongozi wa ccm anayeweza kuthubutu kwenda kinyume na baba au mama yake. Kwa nini? Uoga na unafiki!
   
 2. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Adam na Eva walikuwa wana wa Mungu hapo Mwanzo. Walipotaka kuwa kama Baba yao yaani Mungu, ndiyo mwanzo wa mauti, taabu, shida, chuki, udini, ukanda, ukabila n.k ambavyo tumerithi mimi na wewe.

  "Mtoto amuleavyo ndivyo akuavyo". Binafsi sioni kwa nini wote uliowataja wasiwe wanasiasa na viongozi. Ni haki yao kikatiba ni hii nchi ni yetu sote.
   
 3. J

  Joblube JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wapo kina Recho Mashishanga- Viti maalumu CHADEMA
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unafiki unawasumbua hao! CCM ina wenyewe muulize Bashe Hussein Bashe
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Matayo David Msuya na akina Violet Mzindakaya list ni ndefu sana!
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Una maana gani kwa hili swali lako la pili? si umesema mwenyewe kuwa Freeman Mbowe ni mmoja wa watoto wa kada wa CCM?
   
 7. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  msikimbie hoja hivi mimi na wewe watoto wa maskini hatuna haki ya kuwa viongozi kwa kuwa wazazi wetu hawajawahi kuwa viongozi?watoto wa vigogo wana haki ya kuendekunyonya rasilimali za taifa kwa kuwa wazazi wao walinyonya?tusichangamke kuleta maendeleo kwa kuwa wazazi wao wameshindwa kufikiri?

  uwiano ni upi baina ya BAVICHA na UVCCM?kwangu mimi BAVICHA ni tumaini jipya UVCCM chaka linalojulikana mwenyewe
   
 8. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Rev Fr Masanilo, kwani Matayo David Msuya ni mwanae Cleopa David Msuya? Check.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mtoto wa nje ya ndoa wa aliyewahi kuwa waziri mkuu!
   
 10. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio lazima kila mmoja awe chadema jamani...tuheshimu demokrasia ..pia hao uvccm na bavicha wasitake kutuharibia adabu za vyama...ni ujinga na wehu kudanganywa eti mtoto wa jk au wa mbowe amekuwa kiongozi wa vijana kwa kuangalia uwezo wake na sio ukanda au undugu, hapo naomba tena viongozi wa ngazi za juu wakae pembeni kabisaaa waache nature ichukue nafasi yake, na wakionekana kumbeba mtu wanamchimbia kaburi mapemaaaaa
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Naona hujamwelewa mtoa hoja hajagusia swala la kikatiba sehemu yeyote, sawa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ingawa si kweli wakati wote, sasa mtoa hoja anajiuliza inakuwaje uzaliwe kwenye CCM uwe na mawazo hayo hayo maisha yako yote huwezi ukawa na mawazo mbadala hata kama unaona mawazo ya wazazi wako yalikuwa si sahihi, nafikiri hapa haongelei kikatiba zaidi.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Post ya kwanza crap!
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Makongoro JK Nyerre( sio Nyerere) aliwahi kwenda NCCR, akawa Mbunge wa Arusha, akapigwa chini na mahakama zetu, njaa ikawa kali, akarudi CCM ingawa akili na moyo wake uko upinzani
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kwani nani amekuita wewe endelea kutembea na gamba lako utakufa nalo mgongoni huku hatuhitaji magamba.
   
 15. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Usishangae ya CCM kwa Kawawa, Msuya na Kikwete families.

  Pia tuangalie Edwin Mtei na Freeman Mbowe; Ndesapesa na Lucy Owenya; Tundu Lissu na Ms. Lissu (Viti Maalum Singida):plane:
  TUJADILI NA HAYO!!!!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mizengo Pinda pia mtoto wake Yuko vitu Maalumu kwa Chama Cha Magamba
   
 17. k

  kamimbi Senior Member

  #17
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wote wanaamini ktk siasa za baba zao, wanajua bila ccm hata dunia isingekuwepo; ila inasikitisha kuona hata vijana wenye profesion za kuwawezesha kusimama wakazifanyia kazi na zikaleta matunda mengi ktk taifa hili bado wanaziacha na kukimbilia mambo ya siasa, hii nikwasababu babazao wamewafundisha njia sahihi za ufisadi baada ya wao kustaafu basi waendelee kufisadi nchi ya Nyerere. Naomba tuwe makini sana na watu kama hawa la sivyo tukubali kubinafsisha utawala wa taifa hili kwa familia za waliowahi kushika madaraka ya juu ktk taifa hili. Lakini jamani hawa watu ni wabaya sana kitaifa sijui nisemeje, hawajaenda walipo ili kutusaidia hapana hapana.
   
 18. M

  Makupa JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama hamana chama mbadala wa ccm ungetaka wewe chma gani zaid ya ccm. Chama tawala?
   
 19. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The fact is, Kama CCM wangekuwa wanakidhi mahitaji ya wenyenchi kungekuwa hakuna tatizo
  la kurisishana uongozi hata kama wangetaka tuongozwe kwa mfumo wa kifalme,

  tatizo ni kwamba wanatuibiana kutudharau,kwa hiyo inasumbua sana unapoona na watoto wao
  wanakuwa viongozi sababu inamaanisha kwamba wizi na dharau vitaendelea daima.

  As long as CHADEMA wanaonenakana kuwa na nia ya kukidhi haja zetu, I wish niwaone na
  watoto wa DR SLAA, Wadogo na kaka zake Mbowe, na wengine wakiingia kwa wingi katika
  pilitics sababu watatuhakikishia mikakati ya kusimamia maslai ya UMA kuwapo kwa muda mrefu pia.

  Labda nimalizie kwa kusema kwamba CCM kwa sasa wanakimavi.
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nani baba na mwana hapa?
  r1 kaingia kwenye siasa baada ya baba jk kuwa rais
   
Loading...