Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Muungano huu ni sawa na mtu kumng'ang'ania hawara asiye kupenda. Utatoa gharama kubwa kulilinda pendo huku ukijua hakuna upendo hapo. Tanganyika ataendelea kubeba muungano kwa gharama kubwa zaidi. Huku tukijua hisia za wananchi juu ya muungano.Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.
BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA