Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
#TANZIA#
Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA) tumepokea kwa mshtuko mkubwa sana kifo cha aliyekuwa Mbunge wetu wa Biharamulo ,Dr Anton Mbasa.
Ofisi ya Katibu mkuu BAVICHA Taifa inatoa salamu za rambirambi kwa ndugu jamaa na marafiki walipatwa na msiba huu mkubwa kwao na kwa chama pia.
Tunaomba BAVICHA wote tushiriki msiba huu,kwa kuwafariji ndugu jamaa na marafiki kwa utaratibu utakao tolewa na Familia pamoja na chama.
Aidha tunaomba tunawapa pole wananchi wa Biharamulo kwa kuondokewa na kiongozi wao mpendwa na kuwa acha katika kipindi kigumu huku wakimuhitaji zaidi.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe!
Imetolewa June 26
Idara ya uhamasishaji BAVICHA Taifa