Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Habari za Jumapili wadau
Sasa ni Rasmi chadema wametupilia mbali hoja ya uufisadi. Baada ya kongamano la Bavicha na Chaso jana liliazimia kwamba Bavicha na Chaso wanazunguka nchi nzima kutaka "haki za binadamu"..kwa wabadhirifu eti wachukuliwe hatua kwa siri.Pia wamekubaliana kuwa Rais "anakurupuka" katika harakati zake za kusimamia rasilimali na kuwaondoa wabadhirifi...wakisisitiza afanye " utafiti" kabla ya kuchukuwa hatua,hii ni kwa mujibu wa waraka uliosainiwa na Simbeye (Katibu mwenezi,bavicha) nimejiuliza maswali yafuatayo.
1.Je ni haki zipi za binadamu zimevunwa?
2.Ni lini mafisadi wamekuwa wema?
3.Utafiti upi unahitajika ili uchukuwe hatua Bandarini,TRA,Ujangili,..nk.
4.Je barabara na fulana kipi bora?
Masuali ni mengi sana...ila itoshe tu kusema Luwasamania inauwa vipaji kwa vijana wa chadema.
Karibuni kwa hoja.