BAVICHA mmelala fofoo,almost "Dead and Gone".

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,987
2,000
Sioni wala sisiikii movement zotezote zinazofanya na BAVICHA sasa ni kwa muda mrefu.

Mfano mdogo ni hii issue ya Makanikia.
Serious mpaka Issue imefika hapa hakuna mliloweza kulisema ? Either kupongeza ama kutoa mapungufu yaliyopo juu ya issue hii. ? (Hakika mmelala)

Kama vijana nadhani mngekua front katika kutetea maslahi ya taifa.
Kwa ukimya huu , naweza sema mmelala fofofo.

Naikumbuka BAVICHA
"John Heche"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom