kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,334
- 21,429
Tangu BAVICHA watangaze kwenda kuhakikisha wanazuia kufanyika kwa kikao cha CCM kumkabidhi uenyekiti Rais Magufuli makundi mengi ya vijana wa CHADEMA na wasio wamehamasika kwenda Dodoma hiyo tarehe 23,hapa nikiwa eneo la umba kijiji kimoja kilichopo mkoani tanga nimekutana na kundi kubwa la vijana wa jamii ya kimasai morani, wakijiandikisha tayari kwa safari ya kwenda kuongeza ulinzi na kuisadia polisi.
Nimemsikia kiongozi wao bwana Sabkoki Ole Matei maarufu Mlungu Bhai akisema wao hawana kadi ya CHADEMA wala UKAWA ila wameona wamenyimwa kupata fursa ya kusikia mikutano ya kisiasa na mgombea wao aliewavutia kwa sera zake kipindi cha uchaguzi kuja kuwashukuru,
Sasa wamesikia CCM wameruhusiwa kufanya kikao chao na hapo hapo kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA kutoka korogwe alipita akawapa habari ya kwenda dodoma nao wakahamasika kwenda, Kazi imeanza wamasai nao ndani ya dodoma,
Angalizo ulinzi usije ukageuka maafa!