Bavicha Mkoa wa Morogoro kufanya dua maalum ya kuondoa nuksi , baada ya dua ni uchangiaji wa damu kwa ajili ya Majeruhi wa moto

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,519
217,785
TUKUTANE JUMAMOSI VIWANJA VYA  SHULE YA MSINGI K_NDEGE- MOROGORO MJINI @hilda_ne.jpg


Mambo ni mengi halafu muda ni kidogo sana !
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tatizo CHADEMA hata wafanye kitu kizuri hawawezi kuacha kuchanganya na siasa
 
BAVICHA ni wajinga sana, tena wasijaribu kutaka kufanya swala la uchangiaji damu kua kisiasa kabisa!!! damu wachangie na kutawanyike Mara moja
 
Hahaha nadhani hapo wanalizunguka jeshi la polisi.

Ukisema ni mkutano wa kisiasa nadhani unajua vitimbi vyake.

Kwahiyo unaita dua.
 
Back
Top Bottom