Bavicha mikoa ya kusini kufurika kumchukulia fomu mgombea Cecilia Mwambe

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,989
Vijana wapo katika mipango mizito ya kumchukulia fomu,
Anayewania mwenyekiti wa CHADEMA Taifa unaotarajiwa kufanyika December

Walisikika wakisema ni zamu ya mikoa ya kusini kutoa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Walipohojiwa zaidi walisema Mbona Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini imetoa Mwenyekiti Kwanini wao kusini wasitoe?

Je, awamu hii Bilionea Mbowe kama vijana wake wanavyomuita atatoboa?

Kwa hali ilivyo inabidi ategemee kura za Zanzibar ili kujalizia kura

Nawasihi vijana wa Mh Mbowe wasimchezee rafu huyu mgombea alieonyesha njia ya kumbwaga Mbowe
 
Ha ha ha haaaaa!!! Inaonekana CHADEMA inawatesa sana nyie vijana wa CCM. Subirini uchaguzi wenu ufike na nyie mfanye kama CHADEMA. Mbona mnashika break kwenye gari ambalo mmeombewa lifti tena mmekaa nyuma?
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuteseka na CHADEMA? Kwa lipi hasa kwa mfano?
 
Je kamanda wa anga atatoboa safari hii?
Ha ha ha haaaaa!!! Inaonekana CHADEMA inawatesa sana nyie vijana wa CCM. Subirini uchaguzi wenu ufike na nyie mfanye kama CHADEMA. Mbona mnashika break kwenye gari ambalo mmeombewa lifti tena mmekaa nyuma?
 
Kwanini unamuita kapi la ccm mbunge wa chadema?
Uwa siafiki haya mambo eti ya kuchukuliana form yaani unawapa vijana pesa kwenda kukuchukulia form halafu unasema unapendwa Lissu pekee ndiye ninaweza afiki achukuliwe form ila sio Mbowe wala uyo kapi wa ccm.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuteseka na CHADEMA? Kwa lipi hasa kwa mfano?
Basi kama mtu mwenye akili timamu hawezi kuteseka na CHADEMA nyie wooote na timu yenu ya CCM mkiongozwa na Kawe Alumni na state agent hamna akili timamu. Hii ni kwa mujibu wa hii coment yako maana wewe na watajwa hapo juu mnateseka sana na CHADEMA. Nashukuru kwa kunisaidia kupata jibu maana leo nimejua hamna akili timamu.
 
Nasi ukifika uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM sisi wana mikoa ya kusini tutafurika kumchukulia Bernard Membe fomu ili awe mwenyekiti wetu taifa. Kawe Alumni,
 
Wana muogopa Mbowe kushinda hata mwenyekiti wao
Ha ha ha haaaaa!!! Inaonekana CHADEMA inawatesa sana nyie vijana wa CCM. Subirini uchaguzi wenu ufike na nyie mfanye kama CHADEMA. Mbona mnashika break kwenye gari ambalo mmeombewa lifti tena mmekaa nyuma?
 
We kigori mikoa ya kusini uchumi wake unakua kwa kasi na wanakusini wamebaini hilo licha ya kudolola kwa ikuaji kutokana na athari za kuwa ngoma ya ukombozi kusini mwa afrika

Wanakusini kanda ya kati na kanda ya ziwa wanasema mbowe must walk out

State agent
Mikoa ya kusini imeshindwa kupiga hatua ya kimaendeleo,utafikiri wapo nchi nyingine,walaumu ccm kwa unyonyaji unaofanywa kusini
 
Back
Top Bottom