Baraza la vijana wa chadema mkoa wa manyara (BAVICHA) wamekusudia kukutana mwezi ujao makao makuu ya mkoa huo Babati kujadili mambo muhimu yahusuyo vijana ikiwemo ushiriki wa vijana ktk kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama na nje ya chama. Baraza hilo limeandaa mkakati wa kuwashindisha vijana ili wakamate nafas muhimu za uongo wa chama ili waongoze chama chao kwa speed waitakayo tofauti na hivi sasa. Wadau watokao mkoa huo wanakaribishwa.
source: Benny Mao M/KITI WA BAVICHA MKOA WA MANYARA
source: Benny Mao M/KITI WA BAVICHA MKOA WA MANYARA