Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Vijana wa chadema zaidi ya 5000 wanajipanga kwenda dodoma kusaidiana na jeshi la polisi kuzuia mkutano mkuu wa ccm ambao utafanyika tarehe 23 July mwaka huu.
Zoezi hili linatokana na agizo la jeshi la polisi la kukataza shughuli zote za kisiasa kwa sababu za kiusalama kama jeshi la polisi lilivyoeleza.
Kwa mjibu wa RPC wa Mkoa wa dodoma alizuia mahafali ya Chaso mkoa wa dodoma kwa madai kuibuka magonjwa ya ajabu katika mkoa huo.
Hili ilipelekea polisi kuzuia mahafali ya wanafunzi wa vyuo vikuu watokanao na chadema hali hii ilipelekea wanafunzi hao kutofanya mahafali hayo kwa sababu hizo ambazo zilitiliwa shaka na watu wengi.
Kutokana na Nadharia ya *Traditional Military Professionalism* ya Bw *Samweli Huntington*zao (1731-1796) alisema Jeshi linatakiwa lisijihusishe na siasa badala yake libaki kutumikia Raia wote kwa kutumia taaluma .
Vile Bw *Morris Janowitz* ( 1919-1988) katika Nadharia yake ya *Pragmatic Professionalism* alishauri jeshi la polisi lisijihusishe kabisa na siasa badala yake lisaidie jamii katika majanga na ulinzi wa Raia wote bila kujali itikadi zao.
*Swali langu linasema kwanini Bavicha wanaenda dodoma nitaeleza sababu chache tu;-*
*Sababu ya kwanza* ni kuwaonyesha Watanzania kuwa jeshi la polisi liko upande gani, maana kama iwapopolisi kuzuia mkuzuiaimahafalio wachasoawatawezajeukuruhusu mkutanozccm ufanyike ili hali dodoma kuna wa ajabu.
*Pili* Bavicha wakienda Dodoma na jeshi la Polisi wakiwapiga mabomu watathibitisha bila kuwepo na chembe ya shaka kwamba jeshi la polisi linatumiwa na ccm kuudhoofisha upinzani.
Na hali hii itapelekea kuwapo na chuki kati ya polisi na raia ambapo itapelekea watu kutokuliamini tena jeshi la polisi, na kusababisha upinzani kuongeza wafuasi wengi kwa dhana ya kuwa neno haki hupatikana sehemu panapoonewa.
Jeshi la polisi kama iwapo litasaidiana na Bavicha kuzuia mkutano mkuu wa ccm litaonekana halina upande wowote na hoja ya Upinzani ya kuwa jeshi la Polisi linatumiwa na ccm itakuwa imekosa nguvu na Nadharia ya Huntington itakuwa imetumika sawia.
*Ushauri wangu kwa jeshi la polisi* linatakiwa kuzuia mkutano mkuu wa ccm na baadaye kutangaza kuwa vyama vyote viendelee na Programme zao kama kawaida na hapo ndio ccm waite mkutano mkuu wao ili kusudi Jamii Iendelee kuwaamini.
*Ushauri wangu kwa ccm* wastishe kikao chao cha Dodoma ili kuondoa dhana ilijengeka kuwa jeshi la polisi linawabeba na hii itawaongezea heshima ya kuwa japo wenyewe ni chama tawala wanatii Amiri za polisi na wataonekana kweli ni chama kinachopenda Amani.
*Mwisho* Bavicha karibuni Dodoma karibuni ili Tanzania ijue jeshi la polisi lijulikane ni la kulinda watu na mali zao (civil military Relation) au ni la kulinda chama tawala (Military Regimes).
Mhere Mwita