Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,562
- 217,892
Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama .
Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi zilizotangazwa na RC na kwamba kila mwanachama wa Bavicha anatakiwa kuwepo na kushirikiana na wana usalama kufanya usafi huo
Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi zilizotangazwa na RC na kwamba kila mwanachama wa Bavicha anatakiwa kuwepo na kushirikiana na wana usalama kufanya usafi huo