BAVICHA jimbo la Kinondoni tuungane na Mh Lowassa leo Kigogo na Magomeni Mikumi

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA

BARAZA LA VIJANA JIMBO WA CHADEMA (BAVICHA) JIMBO LA KINONDONI

Ratiba ya Mh lowasa kuja kutoa msaada kwa watoto yatima leo Magomeni Mikumi saa nne na nusu baada ya hapo msafara utakuja Kigogo, viongozi wa Magomeni watakutana mikumi , kigogo watakutana njia panda .Viongozi wote wajimbo tukutane magomeni mikumi saa nne.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano ya baraza la vijana bavicha jimbo la Kinondoni

By Moody Kabwe
Mkuu wa kitengo cha habari bavicha jimbo

b84d43c9935cc05162a4a224939f6998.jpg

Hapa ni kwenye kituo cha UMRA ORPHANAGES CENTRE, MAGOMENI.

1a3c3dfe9a01023170d575559791feae.jpg

Mheshimiwa Edward Lowassa, akitoa misaada kwenye kituo cha watoto yatima asubuhi hii.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA

BARAZA LA VIJANA JIMBO WA CHADEMA (BAVICHA) JIMBO LA KINONDONI

Ratiba ya Mh lowasa kuja kutoa msaada kwa watoto yatima leo Magomeni Mikumi saa nne na nusu baada ya hapo msafara utakuja Kigogo, viongozi wa Magomeni watakutana mikumi , kigogo watakutana njia panda .Viongozi wote wajimbo tukutane magomeni mikumi saa nne.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano ya baraza la vijana bavicha jimbo la Kinondoni

By Moody Kabwe
Mkuu wa kitengo cha habari bavicha jimbo
Hivi umeeandika nini hapa????....Daaah hawa ndio aina ya VIONGOZI WAJAO WA CHADEMA...BADO SANA KUITOA CCM MADARAKANI
 
Japo bandiko lako Mkuu lina makosa kidogo bt not bad tumekuelewa, Pamoja Makamanda,Mungu awatangulie
 
Duhh!! Ameanza kutengeneza mafuriko(nyomi) ya 2020 kwa kuanzia na watoto yatima? Bodaboda, mama lishe, akina mama, vijana msiokuwa na ajira, misikiti, makanisa kaeni mkao wa kula. Neema hiyooo inakuja. Ndo mbinu zake hizi.
 
Ratiba ya Mh lowasa kuja kutoa msaada kwa watoto yatima leo Magomeni Mikumi saa nne na nusu baada ya hapo msafara utakuja Kigogo, viongozi wa Magomeni watakutana mikumi , kigogo watakutana njia panda .Viongozi wote wajimbo tukutane magomeni mikumi saa nne.

" Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na watu. Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume; sadaka yako iwe kwa siri; na Baba yako aonaye sirini atakujazi " (Mathayo 6:1-4).
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA

BARAZA LA VIJANA JIMBO WA CHADEMA (BAVICHA) JIMBO LA KINONDONI

Ratiba ya Mh lowasa kuja kutoa msaada kwa watoto yatima leo Magomeni Mikumi saa nne na nusu baada ya hapo msafara utakuja Kigogo, viongozi wa Magomeni watakutana mikumi , kigogo watakutana njia panda .Viongozi wote wajimbo tukutane magomeni mikumi saa nne.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano ya baraza la vijana bavicha jimbo la Kinondoni

By Moody Kabwe
Mkuu wa kitengo cha habari bavicha jimbo
Andika vizuri
 
Back
Top Bottom