BAVICHA: Hawa waliokamatwa kwenye ESCROW ni Punda tu, wapo waliokuwa wanammliki, wote wanatakiwa

Unajua kuna watu wanajua kucheza na attention za watu , na hao mazuzu wakaingia kingi kabisa ..yaaaani wale vinara wanapeta tu mitahani ...sijui kwa nini hawachukuliwi hatua hadi sasa ..tatizo akichukua sheria hakuna atakaye baki ndo maana upinzani hawamuelewi kabisa na drama zake...
 
Waache kudandia na kelele hizo... tumezichoka shaaaa. Waende kuripoti polisi na kuwafungulia kesi na vidhibitisho walivyo navyo, kama hawana subira ya kuwaacha wahusika wa serikalini wafanye yao hatua kwa hatua.
 
Yan serikali imefikia hatua ya kusingizia punda makosa makubwa kama ya ESCROWS??Punda wanaweza ongea na kusaini mikataba??!!!
 
Back
Top Bottom