Ni jipuUjumbe huu umfikie lowassa najua yupo katiaka list ya walioiba pesa za umma kwa richmond na kesi yake ni baaada ya mahakama ya fisadi mwezi ujao
Mashinji anazidi kuwazikaNyie madogo bhana!!
CCM acheni ulaghai. Tangu Lowassa alipojiuzulu kwa kashfa ya Richmond mbona hajakamatwa kushitakiwa? Majeshi yote mnayo, mahakama zenu lakini mnalialia tu eti Lowassa fisadi.Ujumbe huu umfikie lowassa najua yupo katiaka list ya walioiba pesa za umma kwa richmond na kesi yake ni baaada ya mahakama ya fisadi mwezi ujao
Imeanza na Mkwe wakeCCM acheni ulaghai. Tangu Lowassa alipojiuzulu kwa kashfa ya Richmond mbona hajakamatwa kushitakiwa? Majeshi yote mnayo, mahakama zenu lakini mnalialia tu eti Lowassa fisadi.
Kwa hiyo kama Sumaye alihusika kuuza nyumba za serikali ndio imehalalishwa?
Majipu ni shida siku hizi yamepata mtetezi LisuMajipu Bhana.....