BAVICHA Geita tunalaani kitendo cha kishetani alichofanyiwa bw Freeman Mbowe

Mhere Mwita

Verified Member
Jan 24, 2012
235
1,000
01bedc46baa42c3efaf6aa38a514a83f.jpg

Kwa niaba ya Baraza la vijana chadema (Bavicha) Wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha mkuu wa Wilaya Wa hai Bw Gelasius Byakanwa kuvamia na kuharibu shamba la Mwenyekiti Wa Chadema taifa Bw Freeman Mbowe.

Sisi vijana wa chadema wilaya ya Geita sio tu tumeudhunishwa na kitendo hicho cha kinyama Bali tumefedheshwa na kitendo hicho ambacho wamefanyiwa wananchi wa hai kwa pitia Muwakilishi wao na watanzania kwa jumla ambao walikuwa wanategemea chakula na Ajira, ambapo watu zaidi ya 500 walikuwa wameajiliwa kwenye kwenye shamba hilo ambapo

Mwenyekiti wetu alikuwa anaonyesha dhana na maana halisi ya uongozi bora, maana ya uongozi inasema uongozi ni mamlaka au karama ya kuonyesha njia kwa vitendo. Kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Uongozi kwa vitendo ulitakiwa kuungwa mkono na kila mtanzania mpenda maendeleo Wa nchi hii na sio kumdhoofisha kama wanavyofanya.

Kwa maana hiyo tulitegemea Serikali ya awamu ya tano kupitia kauli mbiu yake ya *Hapa kazi tu* wangeenda kupata darasa kwa Mwenyekiti huyo wa Chadema ambae kwa mda mwingi amaeamua kufanya kazi kwa vitendo na sio wafanyavyo viongozi wa ccm hulisemea neno hilo jukwaani na sio shambani, kwa namna hiyo tungeweza kupambana na Njaa ambayo inalikabiri taifa letu.

Lakini kwa sababu ya chuki, visasi pamoja na wivu binafsi na upeo mdogo wa uongozi wa ccm ambao wanaona kujifunza kwa kiongozi wa upinzani ni dhambi na ni kumtengenezea sifa, kutokana na dhana hiyo imesababisha kuchochea kwa umaskini kwa wananchi wetu kwa sababu ya kutokuthamini wadau wa maendeleo kwa sababu ya utofauti wa kiitikadi.

HATUA ZA HARAKA NA MAKUSUDI ZILICHUKULIWA NA BAVICHA WILAYA YA GEITA.

1)- Tunalaani kitendo hicho cha kishetani kilichofanya na mkuu wa Wilaya ya Hai maana kimeenda nje ya ubinadamu na udugu wetu kama nchi

2)- Kwa sababu suala hili linagusa kila Mtanzania kwani mazao hayo wasingetumiwa na wanachadema pekee yao Bali watu wote, wote kwa pamoja tuungane kulaani na kukemea kitendo hicho ambazo ni cha kwanza Tanzania.

Tulizoea kuona bangi zinachomwa moto sio kabeji, Nyanya Mchicha na spinachi wote kwa pamoja tukemee jambo hili lisijitokeze tena.

3)-kuanzia Leo tunamtangaza mkuu wa Wilaya wa Hai ni mtu ambae amekosa sifa za kuwa kiongozi ambazo ni ufahamu, Mwaminifu, mwenye maadili mema, Mcha Mungu, mwenye kuwaongoza watu katika msingi bora ya uongozi bila kujali itikadi, Jinsia, rangi wala ukabila.

4)-Mamlaka ya uteuzi ichukue hatua dhidi yake isipo Fanya hivyo Vijana wa Geita tutajua kuwa ile kauli mbiu ya Hapa kazi tu yalikuwa ni style ya kuombea kura ya viongozi wa ccm na Usanii kama ile kauli mbiu ya 2005 ya maisha bora kwa kila Mtanzania na tutawaka kuipuuza.

Kwa sababu ya Umuhimu (serious) ya hili jambo tuumeamua kuitisha kikao cha haraka cha Kamati ya Uratibu ya Bavicha Geita ambacho kitakuwa ni jumamosi ili kuona ni hatua gani za makusudi na haraka ya kuchukua ili kukomesha kitendo hiki kisije kikatokea tena.

imetolewa na; Ni Mimi Mhere Mwita,

M/kiti wa Bavicha (W) Geita,

Tarehe 15/06/2017.

Mawasiliano 0742530600
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,210
2,000
Kuna video YouTube za taarifa za habari kibao ambapo watu wa mazingira walienda kwake wakampa notisi akakubali akaomba apewe muda avune mazao yake Ya mboga na nyanya wakampa miezi minne avune aondoke akavuna akapanda tena na akaongeza eneo alivyo jeuri.
 
Kyodowe

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
990
1,000
Kama ameonewa si aende mahakamani? Mbona mtiririko wa hilo jambo limeelezwa vizuri kwenye magazeti ya jana.
Anyway, tusiwe busy na JF tu, pia magazeti ni sehemu ya taarifa
 
byeyombo

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
1,463
2,000
Kuna video YouTube za taarifa za habari kibao ambapo watu wa mazingira walienda kwake wakampa notisi akakubali akaomba apewe muda avune mazao yake Ya mboga na nyanya wakampa miezi minne avune aondoke akavuna akapanda tena na akaongeza eneo alivyo jeuri. Bavicha are stupid.
Halafu eti tunalaani....kwani ni shamba la chadema
 
mgweno halisi

Member
Apr 19, 2017
52
125
Chadema hawatofautishi kesi binafsi na za kichama za mbowe very sad
Hakuna anayekataa kua sio swala binafsi ila limefanywa kisiasa.kwasababu imekuaje shamba mbogamboga mpaka muite waandish wa habari hivi lingekua ni la kapuku kama mimi mungekuja na waandishi wa habari?pili tunao mabwana shamba kote kila kata wilaya na nk hili shamba toka linaandaliwa linakamilika linatumika kwa muda wote mpaka sasa mulikua hamuoni hicho chanzo cha maji?hivi ni visatu hilo liko wazi
 
mgweno halisi

Member
Apr 19, 2017
52
125
Mkuu wa wilaya anatafuta kik sianajua boss ni mzee kuwatunuku mavyeo ukimharibia mtu anayepingana na sera zake.kama aliyempiga warioba alivyotunukiwa.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,210
2,000
Hakuna anayekataa kua sio swala binafsi ila limefanywa kisiasa.kwasababu imekuaje shamba mbogamboga mpaka muite waandish wa habari hivi lingekua ni la kapuku kama mimi mungekuja na waandishi wa habari?pili tunao mabwana shamba kote kila kata wilaya na nk hili shamba toka linaandaliwa linakamilika linatumika kwa muda wote mpaka sasa mulikua hamuoni hicho chanzo cha maji?hivi ni visatu hilo liko wazi
Walimpa notisi aondoke bila siri mbele ya Waandishi wa habari ili kesho na keshokutwa asije singizia kuwa anaonewa kisiasa. Siku anapewa notisi Waandishi wa habari walialikwa na Wakashuhudia akipewa notisi Ya miezi miine avune mazao yake aondoke kuondolewa baada Ya yeye kukaidi notisi Waandishi wa habari wamealikwa pia . Bavicha wajinga wanabeba kesi binafsi na kuzifanya za chama
 
ZULUECO

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
586
250
Hakuna anayekataa kua sio swala binafsi ila limefanywa kisiasa.kwasababu imekuaje shamba mbogamboga mpaka muite waandish wa habari hivi lingekua ni la kapuku kama mimi mungekuja na waandishi wa habari?pili tunao mabwana shamba kote kila kata wilaya na nk hili shamba toka linaandaliwa linakamilika linatumika kwa muda wote mpaka sasa mulikua hamuoni hicho chanzo cha maji?hivi ni visatu hilo liko wazi
Peleka ujinga kule, hairuhusiwi kuendesha kilimo kwenye vyanzo vya maji..kwani mbowe ni nani
 
ZULUECO

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
586
250
01bedc46baa42c3efaf6aa38a514a83f.jpg

Kwa niaba ya Baraza la vijana chadema (Bavicha) Wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha mkuu wa Wilaya Wa hai Bw Gelasius Byakanwa kuvamia na kuharibu shamba la Mwenyekiti Wa Chadema taifa Bw Freeman Mbowe.

Sisi vijana wa chadema wilaya ya Geita sio tu tumeudhunishwa na kitendo hicho cha kinyama Bali tumefedheshwa na kitendo hicho ambacho wamefanyiwa wananchi wa hai kwa pitia Muwakilishi wao na watanzania kwa jumla ambao walikuwa wanategemea chakula na Ajira, ambapo watu zaidi ya 500 walikuwa wameajiliwa kwenye kwenye shamba hilo ambapo

Mwenyekiti wetu alikuwa anaonyesha dhana na maana halisi ya uongozi bora, maana ya uongozi inasema uongozi ni mamlaka au karama ya kuonyesha njia kwa vitendo. Kipimo cha uongozi ni jinsi gani kiongozi anaweza kuleta ushawishi kwa watu na kufikia maendeleo yaliyotarajiwa. Uongozi kwa vitendo ulitakiwa kuungwa mkono na kila mtanzania mpenda maendeleo Wa nchi hii na sio kumdhoofisha kama wanavyofanya.

Kwa maana hiyo tulitegemea Serikali ya awamu ya tano kupitia kauli mbiu yake ya *Hapa kazi tu* wangeenda kupata darasa kwa Mwenyekiti huyo wa Chadema ambae kwa mda mwingi amaeamua kufanya kazi kwa vitendo na sio wafanyavyo viongozi wa ccm hulisemea neno hilo jukwaani na sio shambani, kwa namna hiyo tungeweza kupambana na Njaa ambayo inalikabiri taifa letu.

Lakini kwa sababu ya chuki, visasi pamoja na wivu binafsi na upeo mdogo wa uongozi wa ccm ambao wanaona kujifunza kwa kiongozi wa upinzani ni dhambi na ni kumtengenezea sifa, kutokana na dhana hiyo imesababisha kuchochea kwa umaskini kwa wananchi wetu kwa sababu ya kutokuthamini wadau wa maendeleo kwa sababu ya utofauti wa kiitikadi.

HATUA ZA HARAKA NA MAKUSUDI ZILICHUKULIWA NA BAVICHA WILAYA YA GEITA.

1)- Tunalaani kitendo hicho cha kishetani kilichofanya na mkuu wa Wilaya ya Hai maana kimeenda nje ya ubinadamu na udugu wetu kama nchi

2)- Kwa sababu suala hili linagusa kila Mtanzania kwani mazao hayo wasingetumiwa na wanachadema pekee yao Bali watu wote, wote kwa pamoja tuungane kulaani na kukemea kitendo hicho ambazo ni cha kwanza Tanzania.

Tulizoea kuona bangi zinachomwa moto sio kabeji, Nyanya Mchicha na spinachi wote kwa pamoja tukemee jambo hili lisijitokeze tena.

3)-kuanzia Leo tunamtangaza mkuu wa Wilaya wa Hai ni mtu ambae amekosa sifa za kuwa kiongozi ambazo ni ufahamu, Mwaminifu, mwenye maadili mema, Mcha Mungu, mwenye kuwaongoza watu katika msingi bora ya uongozi bila kujali itikadi, Jinsia, rangi wala ukabila.

4)-Mamlaka ya uteuzi ichukue hatua dhidi yake isipo Fanya hivyo Vijana wa Geita tutajua kuwa ile kauli mbiu ya Hapa kazi tu yalikuwa ni style ya kuombea kura ya viongozi wa ccm na Usanii kama ile kauli mbiu ya 2005 ya maisha bora kwa kila Mtanzania na tutawaka kuipuuza.

Kwa sababu ya Umuhimu (serious) ya hili jambo tuumeamua kuitisha kikao cha haraka cha Kamati ya Uratibu ya Bavicha Geita ambacho kitakuwa ni jumamosi ili kuona ni hatua gani za makusudi na haraka ya kuchukua ili kukomesha kitendo hiki kisije kikatokea tena.

imetolewa na; Ni Mimi Mhere Mwita,

M/kiti wa Bavicha (W) Geita,

Tarehe 15/06/2017.

Mawasiliano 0742530600
Nasikia eti bavicha ndio vichaa wa chadema
 
Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,916

Dogo rudi shule ukasome. Chadema wameshakupotezea muda ulivyo vunjika na mpaka sasa bado wanakupotezea muda. Go back to school
 
eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,205
2,000
Tutampata tu muda si mrefu mtasikia habari yake
Hatuwezi kuvumilia huu uhuni aliofanyiwa mbowe
Imefika wakati wa kulipiza kisasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom