Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Si mbaya tukaanza jifunza kuthamini vitu kwa kuanza chambua vitu tunavyoweza chukua for granted. Naweka hii thread hapa ili watu watoe maoni yao kwa hoja. Na mwisho tunaweza ifungulia serikali,upinzani na wananchi fikra pana ambazo zitawasaidia kuona umuhimu wa wengine na mara nyingine kuwa na ujasiri wa kushukuru. Mshindi hatakiwi jivuna ila kufurahi kuwa nae ana mchango, na anayeshindwa hatakiwi umia ila kutambua kwamba kafanya kitu na wengine pia wamefanya mengi. KARIBUNI WENYE FACTS.