Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

deecarter

Member
Aug 24, 2019
23
64
Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
 
Hivi nyie Wadanganyika mtajua lini Kenya ni Superpower ya east Africa?

Kenya iko juu kwa entertainment hasa music.

1. Papaa Jones
2. Aman
3. Nameles
3. Nyashiski
4. Nonini
5. Bamboo
6. Camp Mula
7. Prezzo
8. Avril
9. Stella Nyambura Mwangi
10. Ay

Nani msanii wa danganyika anashinda hawa, ukimuacha dangote?
 
Back
Top Bottom