Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NDINDA

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
8,124
2,000
39277467355_347c175b06_b.jpg
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
177,532
2,000
Acha kuwa mbumbumbu kwa kupotoshwa na ushabiki! Wewe ni zaidi ya hapo. Mahakama gani iliyomnyima dhamana huyo kijana?
Sababu za kuahirishwa kutolewa dhamana ni maombi ya serikali (DPP &Polisi) kuwa watekaji wake bado wako huko nje hivyo sio salama kwake kuwa nje.
Hayo maombi ndiyo yanayo hojiwa na mleta mada na watu wengine wote kuwa hivi Polisi waliomshtaki kwa kujiteka wanatumia weledi kweli?

Huyo ni mmojawapo wa manii zilizokosea njia, je kuna mimba za bahati mbaya?
 

Sama boy 255

JF-Expert Member
Mar 5, 2021
1,279
2,000
They are not 100 and they are way more quality than those Iyumbu huts. Hivi unadhani watajenga 100 units only on 2500 acres? They are obviously more than the 1000 in your Iyumbu. Halafu Kenya ina housing projects nyingi tu outside Nairobi - you are only getting excited because you are not used to this. The likes of Tilisi,
Acha kuzungumzia vitu ambavyo havi exist dogo wala havijaanza kutengenezwa nnachokiona hapo ni pori tu kubwa (pori tengefu), huo mradi wa iyumbu ni utakua na nyumba za aina tofauti tofauti, indipendent units kama hizo unazoziona na kuna gorofa za kuzidi zitajengwa hapo 2nd phase, kwakifupi huo ni mji mzima .. nyumba 1000 is not joke
 

ichoboy01

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
59,038
2,000
Watu wanajimilikisha mpaka forests 🤣🤣🤣 utakuta ni watu 10 tu wanamiliki forest inaweza weka wakenya million 20
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom