Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan sgr is Chinese class 1 rail, hiyo sgr AREMA standard uchwara Tanzania haifikii sgr ya Kenya buda.
Just look at the size of pillars, gradient, and curvature of Kenya sgr and compare na huo ujinga wenu huko south. Nyinyi ndio SGR iko capped at 160km/hr maana mshafanya electrification
View attachment 2426549
Tanzania sgr design can accommodate train speep of up to 205 kph without design changes you just buy high speed trains while yours only 120kph

At the moment we are content with 160kph trains.
 
Roads in Mombasa City..., hizi zingekua Dar wangesema ni expressway ama superhighway.., The best 007 zoea pwani ya Kenya..,
View attachment 2426277
View attachment 2426279
View attachment 2426281
View attachment 2426284
View attachment 2426285
Hii sio expressway ni mavi yako haya, hakuna infrastructure ipo EA ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa, hii hapa Kimara -Kibaha expressway
tapatalk_1498824995_640x360.jpg
tapatalk_1286808589_410x273.jpg
 
Hiyo Ridgeline siyo SUV, ni gari ya kazi (pickup truck).

Kuna gari nyingi ndogo ziko comfortable tuu na bei zake poa. Kama watumishi wanataka ma SUV si watumie magari yao binasfi? Kwa nini waibebeshe serikali gharama kubwa?

Kweli, usimamizi unatakiwa uwe mzuri, lakini pia gharama inabidi zipunguzwe.

Huyu mtu huwa hata sitaki kumsikia, ni zero kabisa. Mama anapenda kuwaondoa watu makini na kuwaweka vilaza. Angalia Hapi, alikuwa mchapakazi mzuri sana, kamuondoa. Kijana wa watu ameamua kujilimia zake pili pili, nako huko kutusua tuu.


Hao ni vijana wa system ya Kikwete na ndio wao wanapanga nanai akae wapi! Umeona wezi wakubwa wameridi huko Kagera??

 
Kenyan sgr is Chinese class 1 rail, hiyo sgr AREMA standard uchwara Tanzania haifikii sgr ya Kenya buda.
Just look at the size of pillars, gradient, and curvature of Kenya sgr and compare na huo ujinga wenu huko south. Nyinyi ndio SGR iko capped at 160km/hr maana mshafanya electrification
View attachment 2426549
Apa unatudanganya...kama reli yenu imejengwa na wachina ulitegemea iweje tofauti na standard za kichina?

Yetu imejengwa na waturuki, izo pillars zilizosimikwa uko porini zinaserve purpose sawa na tuta lililopo Huku kwa7bu sisi hatuna park kwenye njia ya reli sasa usilazimishe kila kitu kifanane
 
Back
Top Bottom