joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Wazanzibar Wana matatizo Sana, wanakataza makampuni yanayouza "alcohol" kudhamini ligi ya Mpira wa miguu lakini wanaruhusu hivyo vinywaji kuuzwa Zanzibar, yaani kunywa, kuuza alcohol inaruhusiwa lakini matangazo hayaruhusiwi, huo Si unafiki?, wacha waonje kibano.huu ni mtego babu! wee subiria the Mirror itakavyoshupalia hii issue!
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app