Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kule petrol Bei juu,huku nauli na hapa umeme juu 😆😆😆😆..

Pa tamu hapo Ma hustlers hawana cha kufanya lazima Kunyaland ifuate masharti ya WB/IMF👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-174013.png
    Screenshot_20220917-174013.png
    46.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220917-090249.png
    Screenshot_20220917-090249.png
    194.4 KB · Views: 4
South Africa wana mgao wa umeme wa ajabu..i just hope sisi haitokuja kujirudia kama enzi za richmond..bora raisi afanye madudu yake..ila asizingue sector za Umeme , Maji ,ajira na Afya
....currently sina imani sana na Tanesco inavyoendesha..i feel hata JNHPP ikija online tutapoa kidogo na kuanza kusema maji hayatoshu
Screenshot_20220917-213432.jpg
 
hizo hela (za kujenga BRT) zina wenyewe (nchi), na sehem kubwa zitaenda kwa wenyewe (tender kupewa kwa contractors wa hizo nchi).. sio suala la serikali kuamua tu.. nadhan umeelewa
Za world Bank walipewa strabag , bado world Bank wamefinance. Pia kuna phase iko financed na France , sidhani kama kampuni za France zitapewa hiyo tender?
 
fedha za WorldBank na AfDB ni kandarasi iliyokidhi zigezo kinachotakiwa ni Estim kuwa na portfolio ya kuonyesha miradi kama hiyo waliyotekeleza! As things stand wana chance ya kuweza kushinda tender wanahitaji good lobbying!
Kuna article nilisomaga nisha sahau source yake ilikua inasema yapi markez pamoja na experience ya ujenzi reli Tanzania ndio wamewapa tender ya ujenzi wa reli ndefu zaidi . Tena wao wako well experienced na light railways
 
Back
Top Bottom