Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeulizwa wako wapi hao 5,553 wamekufa au? Wewe unaleta ucartoon kama kawaida.
Kama unabelieve the first report why can't you believe the second one cause both reports were released by the same organization.

Screenshot_20220304-002736.png
 
Wenzako walisema watakuja dar kuonyesha slum mpaka saahii hakuna hata mmoja kaweza wewe ujiulizi kwanini, nyinyi mna kota ....mitaa yenu ni kama mitaa yetu ya kota za majeshi ni nyumba zimefanana
Heeheee. Ati kwota za majeshi bongo zinakaa hivi. 🤣 🤣 🤣

 
Danganya toto jinga, that blue signage huko mbele haiwezi patikana anywhere in that Tabora village.
Kwahiyo Rais alivyokwenda kuzindua hii barabara alidanganya au alivyafanya hivyo ili tuziweke humu ndani kwa ajili ya battle.

Nyinyi Tanzania hamuijui vizuri. Eti haiwezi patikana anywhere in that Tabora village. Muwe mnafuatilia hata matukio kwa tv, alikuwa live juzi. Dogo acha kujiaibisha unabisha vitu usivyovijua.
 
Back
Top Bottom