Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zile habari Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia 😆😆😆😆.

Mama kaupiga mwingi huku kwenye Mishahara 👇

Screenshot_20220514-145425.png
 
Kwa hivo unajua kile unachokifanya pia nawe ukishindwa unatukumbusha kuwa hatuna maji...what you don't understand is that there are challenges in Kenya just like the rest of the world, Tanzania is no different, therefore if you ask me about infrastructural projects in Nairobi don't expect me to show you sex workers.
Or are you going to tell me that there are no sex workers in Dar

Unataka kusema hakuna sex workers Dar? Ama hao hawafanyi kwa sababu ya umaskini, ni hobby yao
Wako ila sio kwa level ya kuhongwa maji.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pako vizuri kuna watoto aki ethiopia na wasomali ila siunajua napawaza sana home
Ukiona hivyo njoo utie baraka kwanza nyumbani itakuwa asili inakuvuta.Saa nyingine ukiona unafanya kitu /vitu na haviendi sawa sawa, au unapawazia sana nyumbani hapo huna budi kurudi kwanza ili uweke mambo sawa n then uendelea na mambo yako.
 
Kilimo hakikupi utajiri huo unaoutazamia...Angalia kampuni ya Sumsung tu pekee yake inalipa kodi kiasi gani huko Korea, ama kampuni ya Boeing USA...wenye technology ndio wenye hela dunia ya leo
Sikumaanisha kilimo pekee tu ila nilitaka kusema kwamba pamoja na GDP ndogo waliyonayo lakini wanalima sana tofauti na nchi nyingi za Afrika, ardhi na rasilimali nyingine bado tunashindwa kutoka.
 
Sasa hapa kwenye kupanda kwa bidhaa napo pakoje hapa? Watu wanapenda kutangaziwa ingekuwa kimya kimya pia wangeona hajapandisha. Wafanyabiashara utadhani huwa hawajui kuwa serikali ina wafanyakazi wachache kuliko ambao wako sekta binafsi.
Hiyo dhana huwa haina ushahidi wa kiuchumi bali ni porojo za kutunga tuu..

Vyuma vitalainika Sana msimu huu,1.59 Til+bil.629 za sensa ni lubricants ya kutosha Sana hiyo itakayokuwa na multiplier effects kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom