Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba ya 120M gari 250M nakuelewa man...umetupiga na ki2 kizito sana
Magari mengine ni used mkuu yapo chini ya hiyo bei, kuna magari ya serikali huwa yanapigwa mnada bei ya kutupwa. Kwahiyo inategemea.
 
Ukraine gdp yao ni ya kawaida kwa nchi za Europe man $155bView attachment 2224110
Yaani hivi vitu bwana saa nyingine kuna taarifa za uongo kwa baadhi ya sources.Ila ni wakulima wazuri sana na udongo wao una rutuba ya kutosha, kwa kiasi fulani dunia ilikuwa inawategemea kwenye ngano na mafuta.

WFP wananunua ngano yao kwa asilimia 50.
 
Wakunya nilwauliza progress ya brt mkanipotezea nimeamua nije nijuonee mwenyewe asa hiyo state of the art ultra modern self driven ofice imenifurahisha tanzania tunatakiwa tuige View attachment 2224102View attachment 2224103View attachment 2224104View attachment 2224105View attachment 2224099View attachment 2224106View attachment 2224107

Wakulungwa wa Kaskazini mara chache sana wanashare picha walizopiga wao wenyewe , au wote wengi hawatoki Nairobi? Hawapiti vitu vizuri njiani wakielekea kazini na kurudi na kupiga picha kushare hapa? Hawatoki kula bata wakapiga kutuonyesha pia? Au hawapendi kupiga picha.
Mi nikipita popote nikiona kitu chochote kinahusu hii battle natwanga Photo.

IMG_7034.jpg

IMG_7063.jpg

IMG_7064.jpg

IMG_7065.jpg

IMG_7066.jpg

IMG_7033.jpg

IMG_7032.jpg
 
Wakulungwa wa Kaskazini mara chache sana wanashare picha walizopiga wao wenyewe , au wote wengi hawatoki Nairobi? Hawapiti vitu vizuri njiani wakielekea kazini na kurudi na kupiga picha kushare hapa? Hawatoki kula bata wakapiga kutuonyesha pia? Au hawapendi kupiga picha.
Mi nikipita popote nikiona kitu chochote kinahusu hii battle natwanga Photo.

View attachment 2224169
View attachment 2224170
View attachment 2224171
View attachment 2224173
View attachment 2224174
View attachment 2224175
View attachment 2224176
Safi sana mkuu na mkunya akija dsm apige picha na yeye tufanye comparisson which country is better!
 
Yaani hivi vitu bwana saa nyingine kuna taarifa za uongo kwa baadhi ya sources.Ila ni wakulima wazuri sana na udongo wao una rutuba ya kutosha, kwa kiasi fulani dunia ilikuwa inawategemea kwenye ngano na mafuta.

WFP wananunua ngano yao kwa asilimia 50.
Kilimo hakikupi utajiri huo unaoutazamia...Angalia kampuni ya Sumsung tu pekee yake inalipa kodi kiasi gani huko Korea, ama kampuni ya Boeing USA...wenye technology ndio wenye hela dunia ya leo
 
Kwa hivo unajua kile unachokifanya pia nawe🤣 ukishindwa unatukumbusha kuwa hatuna maji...what you don't understand is that there are challenges in Kenya just like the rest of the world, Tanzania is no different, therefore if you ask me about infrastructural projects in Nairobi don't expect me to show you sex workers.
Or are you going to tell me that there are no sex workers in Dar 🤣😅😅

Unataka kusema hakuna sex workers Dar? 😅😅 Ama hao hawafanyi kwa sababu ya umaskini, ni hobby yao😅😅
kisha acting zote za porno, kukula uroda east africa, zo ufanyika tz
 
Back
Top Bottom