7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,651
- 7,573
Magari mengine ni used mkuu yapo chini ya hiyo bei, kuna magari ya serikali huwa yanapigwa mnada bei ya kutupwa. Kwahiyo inategemea.Nyumba ya 120M gari 250M nakuelewa man...umetupiga na ki2 kizito sana