Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How we feed Africa

Kunyans take note

FA6f-PJXEAIOBsO.jpeg

FA6f-T5WYAIHAZp.jpeg

FA6f-T5XMAACHsK.jpeg
 
KW
Unamjua huyo baba Levola kwanza wewe? Huyo ni mhuni mmoja tu hapa Bongo ambaye inaonekana Kenya ndio nchi yake ya kwanza kutembelea. So hana exposure sana na outside world. Hakuna maendeleo yoyote hapo Kenya ambayo Tanzania inahitaji miaka 25 ili iweze kuyafikia.
KWANGU MIMI SIO LAZIMA AWE AMETEMBEA NCHI NYINGI...BORA ANAIJUA TANZANIA VYEMA NA AMEJIONEA TOFAUTI YAKE NA KENYA NA AKAIONA KENYA KUWA BORA ZAIDI KULIKO TZ...NA KWA KUELEWA KWAKE AKAIPA DAR MIAKA ISHIRI NA TANO....NGAPI ?? 25 ILI DAR IIFIKIE KENYA KWA MAENDELEO. SIHITAJI ZAIDI HAPO.
 
Kuna nn kipo Nairobi alafu Dar hakipo? Ila kuna vingi vipo Dar na huwezi kuvipata Nairobi, unabisha?
 
Duh Sio mchezo

Mh Bashe piga kazi kichwa chako kimetulia angalau wakulima wataweza kuona faida ya jasho lao baada ya muda sana kuwa chini.
Nawashangaa sana Wakunya wanashindwa kuhudumia KFC spots zisizozidi 10 Kenya yote, vipi kama wangekua na utitiri wa vibanda vya chips kama vilivyo Tanzania? Sababu Tanzania chips is almost our staple food,

Vibanda vya chips vimeajiri millions of Tanzanians.
 
Attachments

  • 61eac62345eaf86c8ff0c4f439d0571f.mp4
    9 MB
Kwa makelele ya masifa mnayopigaga wazee wa Githeri na chang'aa,mungefika hizi levels za Hawa Zimbabweans tusingepumua humu jukwaani.

Hongera kwao 👇

Screenshot_20220128-071557.png

Screenshot_20220128-071629.png

Screenshot_20220128-071807.png
 
Back
Top Bottom