Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

(tanzania - zanzibar ) = tanganyika.....
imagin ji nchi jizima kama hichi kutengeneza tu $52b! huku wakidai eti wana madina yote duniani, eti wana rotuba zaidi na wana zalisha chakula kingi zaidi africa, wana mapori na misitu zaidi.. ole wangu View attachment 2091411
Tanzania and uganda is all green and full of lazy humans. Yani jamaa ni nature inawalisha tu hakuna haja ya kufikiria. Kenya ukijaribu kua mjinga kama mtanzania unakufa. The climate is harsh and does not support stupid people.
 
kenya we are very smart
 
Tanzania and uganda is all green and full of lazy humans. Yani jamaa ni nature inawalisha tu hakuna haja ya kufikiria. Kenya ukijaribu kua mjinga kama mtanzania unakufa. The climate is harsh and does not support stupid people.
comment ya kizembe sana hii
Mko na gdp per capita ya $2000 n your here to say ur not lazy
 
Tanzania $1000 gdp/capita na ni green all over, Bigger than Uganda+Kenya+Uganda+Burundi combined in size, no terrorism, no drought, no civil wars, no electrol violence, no tribalism, full of natural resources, no politics etc...nini kinafanya Kenya ina GDP per capita double yenu?
 
Bangi hizi.
Ukweli mchungu wazenji mnajidanganya kuwa mnamiliki zanzibar ila ukweli upo tofauti na unazidi kuwa mchungu hadi sasa hivi ninavyo kuambia asilimia 30% ya ardhi imesha chukuliwa na mabeberu tena sasa hivi kuna maeneo mengi wananchi awaruhusiwi kufika baharini ni mali halali ya mabeberu
 
And we are so proud of that favour from our God, nyinyi mlilaniwa japo sijajua ni kwanini lkn nawapa pole, msilaumu Mungu mana huwa hakosei.
 
Tanzania $1000 gdp/capita na ni green all over, Bigger than Uganda+Kenya+Uganda+Burundi combined in size, no terrorism, no drought, no civil wars, no electrol violence, no tribalism, full of natural resources, no politics etc...nini kinafanya Kenya ina GDP per capita double yenu?
Double ya 1000 is nothing to bragg about,nakubali sie wazembe ndio lakini ur not too far from where we r...mngekua na $5000 wala singekua hapa kujibizana nanyi
 
Tanzania $1000 gdp/capita na ni green all over, Bigger than Uganda+Kenya+Uganda+Burundi combined in size, no terrorism, no drought, no civil wars, no electrol violence, no tribalism, full of natural resources, no politics etc...nini kinafanya Kenya ina GDP per capita double yenu?
Na nn kinafanya tuwazidi kwa maendeleo
 
Ukweli mchungu wazenji mnajidanganya kuwa mnamiliki zanzibar ila ukweli upo tofauti na unazidi kuwa mchungu hadi sasa hivi ninavyo kuambia asilimia 30% ya ardhi imesha chukuliwa na mabeberu tena sasa hivi kuna maeneo mengi wananchi awaruhusiwi kufika baharini ni mali halali ya mabeberu
Staili hiyo imetumiwa na Nchi nyingi Sana za Arabuni ndio maana zimeendelea.

Wewe Baki na mentality za wachunga ng'ombe hizo.
 
tuusan, per capita means, for every banknotes inside a tanzanian wallet, a kenyan wallet has more than double that! simple
Screenshot_20220122-161712_Chrome.jpg

Screenshot_20220122-161548_Chrome.jpg
 
MY TAKE
Miradi ya mwendazake jengo linajengwa na slaughter machine zinawekwa ila cold room haziwekwi kwenye mpango! Huku jamaa akiamuru uchinjaji machinjio ya zamani ufanyike bure! Tungoje machine kupata kutu! Mara airport ya Mwanza inajengwa na halmashauri bila usimamizi wa TAA!
Mzee unapambana na aliyefariki . Mi sipo kwenye siasa lakini mtu akipumzika mwache apumzike . Ni jukumu ya tulio baki kuweka refrigerator . Hata mzazi alifariki ni jukumu walio baki kuendeleza yale mazuri aliyo asisi marehemu pamoja na familia ilibaki. Hawezi rudi kamwe
 
Sioni sababu kwanini alijenga jengo zima na hakutenga fedha za majokofu matokeo yake zaidi ya mwaka umepita machinjio hayatumiki na yale ya zamani wanaotumia hawalipi tena kwa amri yake ya mabavu! Kwangu mimi Ni uzembe au kuamuru nje ya sheria za nchi Halmashauri za Mwanza kusimamia ujenzi wa international Airport na wakati kuna taasisi za kisheria kama TAA ambazo zitahakikisha uwanja unajengwa katika viwango! Matokeo yake ndo tunayaona saa hii hamna accountability!
 
comment ya kizembe sana hii
Mko na gdp per capita ya $2000 n your here to say ur not lazy

They are super lazy, Hata taka wanashindwa kuzoa.

Huu mtaa ungekua Nairobi ungekua umejaa uchafu.

IMG_4146.jpg

Angalia Mitaa ya Developed City of the Country with the Highest GDP that do not help anything.

Behind Moi Avenue

IMG_4148.jpg

Behind Tom Mboya avenue

IMG_4150.jpg

Look at scrap Metals on their roads

IMG_4147.jpg

IMG_4151.jpg

The design that Shits them. Back to where they belong

IMG_4152.jpg

Kaloleni City Stadium.

IMG_4153.jpg

East Africa tupo nyuma sana. Hasa tukijiita matajiri.
 
Back
Top Bottom