Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......

roho inakuuma sana sisi kujenga electrified SGR..
unataman hata ujinyonge

giphy.gif

pole sana.. nenda kapande garimoshi yenu ujifariji kidogo
 
ni kweli kbsa ila mhh ngoja ninyamaze.. if i speak, i will be in trouble
nangojea tu 2025 nione mambo yalivyo
Jana vitu vya watu vimeungua sana umeme ulikuwa umekatwa na kurudishwa ukawa unapanda na kushuka mimi niligundua mapema nikazima vitu baada ya kuona feni ikiongeza speed , juzi nimeunguza adapter ya laptop yangu ,yani ni hatari ,huyu mjambiani ni mpumbavuuu sana anatualibia nchi ,bila shaka miezi 8 kutoka sasa hali ya uchumi itakuwa mbaya sana
 
Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
MY WORRY FOR THEM IS WHEN WILL IT START ITS OPERATIONS????????
 
Kumbe geza uko na akiliserikali iache usengeee wa kutumia mifumo ya watu wengine kama upumbavuu tulio ufanya tanesco ya makamba kwa kuingia mkataba wa $30mil kwa ajili ya mfumo unao endeshwa na mabeberu very stupid ,mifumo yote ya namna hiyo inatakiwa kumilikiwa na serikali kwa 100%
Kwa upelelezi nilio fanya 68% ya mapato ya brt yanaibiwa kutokana na mifumo hiyo ya kifisadi
 
hzo sindio zile used za spain mulizochakazwa bei au 😂😂😂😂😂😂 naskia zimeanza kusumbua kwakifupi ni mbovu
Umesikia tu umbeya. 😂 😂 😂 ., very functional and serving us well.., how about yours?..,
 
Juzi mliongelea sana kuhusu nationwide power outage that occurred in Kenya that was caused by a technical hitch. Mlisahau you have bigger power problems to deal with
Tanzania hatuna bigger power problems ....bali tanzania kwa sasa hata nyinyi wakenya mnajua kuwa hatuna Rais na tulichonacho ni mfano wa rais ndiyo big problem tuliyonayo kwa sasa ,ila very soon tuta clear ili tatizo la kukosa Rais ,
 
akili yako inakutosha mwenyewe
 
BRT ya kenya ni show off tu haitakuwa na tija kwa slum people ni kama ile barabara ya juu inayo milikiwa na beberu ,sasa kwenye brt kenya itakuwa ni kama pambo tu la kuitangaza kenya bei ya nauli itakuwa juu sana hivyo siyo huduma ya jamii bali ni kama kitu cha anasa kwa wakenya ni kama,zile treni za mitumba mlizo nunua zimekuwa na manufaa kwa wachache hadi treni zimeanza kupata kutu kwa kukosa wateja
 
4th world country obsessed with electric train......meanwhile our 130km per hour rail will also be mainly used for cargo......
target is clearing 5 million containers by end of year.While you brag of the unfinished imaginary electric crap we are increasing our trade volumes.......Will have our GDP at 160 by year end while you still linger below 70......the dar port only clears 420k containers a year.......Tanzania is a classical example of putting the cart before the horse
Iyo GDP ya $160b mkifikisha mwaka huu mtakua mmekua kwa 50% just from negative growth,it sound like you have no idea what is going on in your country or wewe ni mjinga sana kuongea ivyo...besides we're all 4th world countries you have no any difference with Tz
 
Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
Izo ni wishes za kijinga,from tz hamuez kujenga sgr to hamuwez kununua electric trains to hamuwez kununua ticket inaonyesha mmeshapoteana...na nani kakwambia watz hawawez kulipa?
 
Maji yanamwagwa usiku mzee Magu alishasema, alafu mmwaga maji kwa ss ndiye mwenye wizara.
Ujuma iliyokuwa inafanywa ya kumwaga maji na kuharibu mitambo ndiyo inayo fanyika sasa TTCL hadi makampuni binafsi yana tunyanyasa kwa kutuwekea MB watakavyo wao mabosi wa ttcl wanatumika na makampuni binafsi kukwamisha ttcl hii ilifanyika hata kwa reli ya tazara na wenye magari ya mizigo
 
MY TAKE
Miradi ya mwendazake jengo linajengwa na slaughter machine zinawekwa ila cold room haziwekwi kwenye mpango! Huku jamaa akiamuru uchinjaji machinjio ya zamani ufanyike bure! Tungoje machine kupata kutu! Mara airport ya Mwanza inajengwa na halmashauri bila usimamizi wa TAA!

Those are minor things that can be fixed,
Halafu we jamaa unazidi kuharibu, ushawishi wako umeshuka sana, umekuwa kama maboya wengine tu sababu huna msimamo,
Huu uzi ni miongoni mwa nyuzi kibao ulifungua ukipongeza miradi ya mwendazake,

Abattoirs: Kenya vs Tanzania
 
Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
Yaani unajiuliza tena Watanzania kwenye kusafiri? Unajua nauli ya kutoka Mwanza kwenda Dar ni shillings ngapi? Tena kwa masaa 15 kwenye gari na wanalipa zaidi ya hiyo ulioandika, na gari hazitoshi ndio maana kila siku fleets mpya zinaingia

Train itakua cheaper sababu ni usafiri wa umma na umeme ni 70% cheap kuliko diesel
 
Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......

40,000 Tsh from where to where ? Nauli ya Dodoma Via a Luxury Bus ni 40k and you will need a booking earlier, mind you there are at least 10 busses departing Dar to Dom and same number Dom to Dar daily .
 
Wanakuja hapa eti electric is just for powering engines, that’s a hell of a consolation phrase ..
yaani at the moment the whole world is moving to electric automobiles just to save the environment wapumbavu wengine kama Kunyaland wanaturudisha nyuma kwa kununuliwa magarimoshi ya miaka ya 1880s,,
Halafu bila aibu Wanataka kufananisha magari moshi yao na trains za kisasa,

Labda tuweke kumbukumbu Sawa,
Hiki ndicho Wiliam LootAll aliwaahidi back in 2013,
IMG_9306.jpg

And this is what China gave to you, with zero penny from the poor broke Kunyan Government
IMG_9308.jpg

And indeed the below locomotive design is the equivalent to what Kunya received from China , 1880s design..
Same design but repainted with The colors of Kunyaland flag
IMG_9307.jpg
 
Back
Top Bottom