Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,033
- 79,019
MY TAKE
Miradi ya mwendazake jengo linajengwa na slaughter machine zinawekwa ila cold room haziwekwi kwenye mpango! Huku jamaa akiamuru uchinjaji machinjio ya zamani ufanyike bure! Tungoje machine kupata kutu! Mara airport ya Mwanza inajengwa na halmashauri bila usimamizi wa TAA!