Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pia, mfano. hiv kama tunasaini mikopo ya zaidi ya $1 b kujenga SGR (mpka sasa zishatumika zaid ya $3 b) .. tunashindwa kuomba mkopo hata wa $500-700 m tujenge viwanja vi3, indoor arena hata mbili (for michezo yote ya indoor) na hata angalau international swimming pool moja kubwa
Kaka haiiitaji hata mkopo revenue tu za ndani..

Good stadium 45k seater ..plus indoor complex 150mil usd to 200milusd hii ni international standard ..

tukipata 500mil usd zitazokusanywa in 3 years next afcon tuna bid kuhost ..
 
poleni lakini in conclusion tu:-
nyinyi waTz mulinivamia sana jana,... watu 100 kwa mtu1.! muliniaibisha sana mbele ya wakenya wenzangu.. sasa kina nairobiwalker, don yf, kanairo, teargas, simba254, komora96, kenpaulite, iamlee, mashashola, mutaitina, mwathadan, nicxie, Thebest007, tony254,.. unafikiri wataniona aje.? kama mume bwege ama mume hooi. hio ndio raha yenu sana.
but in the process of your argument, i learnt somethng thts very common with almost all of you tanzanians, that one should not take your critics seriously, its like your nature to inflict pain into ones life, you like picking on every minor, petty, negligible matters and magnify it as if a major thing!. one should not take your words personal, less you don't want to see the next decade due to pressure. nxt tyme i come into such a similar situation like yesterday, i prms not to use much energy to defend myself. i ll just ignore, as kenpaulite advised me. afterall u don't even know me in the first place. ama ata tutakutana wapi?. you don't even add an inch into my life afterall. so why stress myself
Dont sweat it bro, you cannot have a constructive/ positive argument with them, and its a common thing hapa JF, sijui sasa huko nje.ni wachache tu kina tuusan na ndinda ambao wanaeza kuwa reasonable ingawa hamjakubaliana. I think its in their nature. Hutawai kuskia wakisema anything positive abt 254 or Nairobi yet sisi tunaeza complement Dar. Mimi napenda Dar sana, but some people go beyond this platform to take it personal mpaka wanachukia all kenyans for no reason. Matusi tu! Tulizoea nothing new😂😁😂
 
Dont sweat it bro, you cannot have a constructive/ positive argument with them, and its a common thing hapa JF, sijui sasa huko nje.ni wachache tu kina tuusan na ndinda ambao wanaeza kuwa reasonable ingawa hamjakubaliana. I think its in their nature. Hutawai kuskia wakisema anything positive abt 254 or Nairobi yet sisi tunaeza complement Dar. Mimi napenda Dar sana, but some people go beyond this platform to take it personal mpaka wanachukia all kenyans for no reason. Matusi tu! Tulizoea nothing new
Unapenda Dar ushawahi kufika? Au unapenda Picha
 
The best 007 jana ulinidaka, leo ni mimi nimekudaka sababu sasa kila mtu anajua hauna kazi wala hela. kama hela iko tuoneshe, either ikiwa cash, cheque, ATMreceipt, Mpesa etc
Hehehehee sina kazi au sio, hapa natoka job naingia ndani ya staff basi inipeleke hom full kiyoyozi
IMG_20220120_202809_442.jpg
IMG_20220120_202823_687.jpg
IMG_20220120_202839_485.jpg
IMG_20220120_202852_517.jpg
IMG_20220120_203120_616.jpg
IMG_20220120_203253_399.jpg
 
Dont sweat it bro, you cannot have a constructive/ positive argument with them, and its a common thing hapa JF, sijui sasa huko nje.ni wachache tu kina tuusan na ndinda ambao wanaeza kuwa reasonable ingawa hamjakubaliana. I think its in their nature. Hutawai kuskia wakisema anything positive abt 254 or Nairobi yet sisi tunaeza complement Dar. Mimi napenda Dar sana, but some people go beyond this platform to take it personal mpaka wanachukia all kenyans for no reason. Matusi tu! Tulizoea nothing new
Hehe.......learn to ignore these haters......I finished my work then went for my evening run....currently enjoying the Afcon action ...When I feel like wiping the floor with them I come at them real hard. Tanzanians generally hate Kenyans and there's nothing we can do about it......it is war it is....
 
Mkuu, tafiti za WHO zinaonyesha kwamba chanjo zote zinauwezo wa kupambana na Omicron japo nguvu zinatofautiana kidogo.

Kuhusu hizi hedhi za kinamama, hapa tunazungumzia "Life & death" haya mengine tutashughulika naye baadae baada ya kuokoa maisha yao.
Dr Robert Malone, a vaccinologist who spent 30 years developing vaccines (ndiye aliyegundua hii mRNA technology) anasema, kutoka data package za pfizer alizozipata ku review, aliona hawakufanya genotoxicity wala reproductive toxicology wakati wa trials. Hizi ni standard practices wanazotakiwa kufanya.

Dr. Malone anasema, walichofanya ni kuchukua group of data ambazo hazikuhusika na mRNA vaccines na kuzisambaza kwenye health regulatory angencies duniani (ndiyo hizo data zako za WHO) ili waruhusu chanjo hizo kwa njia ya dharula. Ndiyo maana, wakati wa trials, walikuwa wakiona reaction wasiyoipenda walikuwa wanawaondoa subjects kwenye trials.

Kuna labolatory data, kutokana na chanjo za mRNA, zinaonesha kuna abnomality kwenye signaling molecules zinazofanya Tcells ku communicate, na kusababisha Tcell suppression. Hizi zinakuja kusababisha reactivation of latent viruses.
 
poleni lakini in conclusion tu:-
nyinyi waTz mulinivamia sana jana,... watu 100 kwa mtu1.! muliniaibisha sana mbele ya wakenya wenzangu.. sasa kina nairobiwalker, don yf, kanairo, teargas, simba254, komora96, kenpaulite, iamlee, mashashola, mutaitina, mwathadan, nicxie, Thebest007, tony254,.. unafikiri wataniona aje.? kama mume bwege ama mume hooi. hio ndio raha yenu sana.
but in the process of your argument, i learnt somethng thts very common with almost all of you tanzanians, that one should not take your critics seriously, its like your nature to inflict pain into ones life, you like picking on every minor, petty, negligible matters and magnify it as if a major thing!. one should not take your words personal, less you don't want to see the next decade due to pressure. nxt tyme i come into such a similar situation like yesterday, i prms not to use much energy to defend myself. i ll just ignore, as kenpaulite advised me. afterall u don't even know me in the first place. ama ata tutakutana wapi?. you don't even add an inch into my life afterall. so why stress myself

K”[mention]komora096 [/mention] ni demu wangu, that’s well known.
 
Back
Top Bottom