Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,168
- 9,536
Yaani ata South Sudan hizi machine zinalamba lami na mtu anapiga kifua hapa., SSD plates tayari zimetoka., wanatamba nazo hadi Nairobi,. ,una kichaa nini😂😂😂😂😂.,View attachment 2037370
Kwa sasa hizi gari bongo zimejaa kama takataka wakati zipo nchi mpaka saivi inasubiri mtumba wa Tanzania