Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1638522433147.png

1638522482587.png

1638522518105.png
 
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
Ukweli umekutesa unajiliwaza, zoea ukweli, vumilia maumivu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wakunya ni mara ngapi niwapeni somo la GDP ,basi kwa mara nyingine tena natoa ilo somo
GDP YA KWENYA 80% NI MALI YA MABEBERU NA ASILIMIA 20% TU NDIYO MALI YA WAKENYA ,WAKATI GDP YA TANZANIA 20% NI MALI YA MABEBERU NA 80% NDIYO MALI YETU WATZ hii unaweza kuproof kwa nigeria ina GDP kubwa ila wananchi ni mafukara kwa sababu ni GDP YAO 76% NI MALI YA MABEBERU ISIPOKUWA 24% ONLY NDIYO MALI YA WANIGERIA ,Tena kwa kenya hiyo percent unatoa GDP YA KUPIKA AMBAYO ZAIDI YA 30% YA GDP MNAYODANGANYA KUWA NAYO NI YAKUPIKA, LENGO NI KUIFANYA KENYA IKOPESHEKE NA KUWADANGANYA WAWEKEZAJI WAVUTIWE NA KENYA ,NA KUFANYA KENYA ISIONEKANE KUPITWA NA ETHIOPIA maana hivi majuzi wakenya waliumia sana kupitwa na ethiopia
Zero facts πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., unalazimisha fikra zako.., in Tanzania, ni Kenya, Waarabu na wahindi tumeiteka, ukiongezea na CCM., nyinyi wengine makajamba mpo mpo tu, mmezubaa., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kenya mmewekeza sh ngapi ndani ya Tanzania.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
Magufuli alikufia Nairobi hospital. It is a fact you will never change.
 
zile shule za wasichana kwa kila mkoa mmoja zinajengwa soon

IMG_3255.jpg

IMG_3256.jpg

kuna yake madarasa zaid ya 12,000 za shule za msingi kwa fedha za IMF, na kuna hizi shule mpya za sekondari (secondary & high schools) kwa fedha za WB..
kwenye suala la shule, hapa tumewaacha mbali sana.. wasijaribi kuleta debate kuhusu hili humu
 
Back
Top Bottom