Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe sema tu kuwa hukusoma Civics. Ungeweza kuandika “sifahamu” Ila unataka kunikomoa Kwa majibu ya mkato! Huna lolote! Potea!

:p:p
Mimi siyo wa level ya civics?
Lkn Pale Wizarani kuna wataalam wote kuanzia legal, finance, urban planning and development, education, health to name a few. Watakupa vigezo na masharti, halafu utaona kama kwenu kiboruloni kama kunakidhi vigezo na masharti ya kuwa jiji.
 
Halafu nikishapata jibu litanisaidiaje? Nina nguvu ya kuleta mabadiliko?
 
Utawafanya Ichoboy ba The best 007 washikwe na heart attack 😂
bila make up sasa ni ushuzi wa nguruwe 🤣🤣🤣🤣🤣 mm huna cha kunidanganya ww
63114DA8-B984-4E8F-8A2B-E834F1362135.jpeg
8A907CBF-BB65-45B3-830B-9472110F1F16.jpeg
 
nikikwambia ww huijui mwanza unalia kwann sasa 😂😂😂😂 nimecheka sana leo
zawadi yako hii hapa

Video yako haionyeshi chochote bora. Bado slums ziko pale pale na zinaonekana wazi wazi. Picha niliyoipost unaikataa lakini ni valid. Hospitali ya BMC inaonekana vizuri tu mlimani na CBD ya Mwanza inaonekana kweupe. Kwa hiyo kataa uwezavyo. Ukweli umekuumbua! Unasema hiyo picha ni outside the CBD? Let’s pretend that you’re right. Haya kuna afadhali?
 
Back
Top Bottom