Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,132
- 4,303
Mkuu sijajua arguments zinapingana zenyewe Kwanza kuna mkunya anasema kipawa ward ni slum lakini kipawa ilivunjwa ndipo ilipo airport terminal 3 . Angalia kule kurasini palibana sana wamenunua watu pamevunjwa kuna project ambazo ziko integrated na bandari zinaendelea . Angalia renovation ya mbagala kuu kuanzia barabara na kila kitu . Angalia kiwalani hadi buza , tandika na sehemu za tandika kuna tarmac road mitaani kabisa tena na taa za barabarani . Same to vingunguti kule inakopita reli walikua wananunua nyumba kama walivyofanya kurasini. So kuna improvement kubwa kwenye urbanization . Changes haziwezi kua kama mushroom yaani overnight tuzune uyoga
Tujenge miji mipya kama wenzetu (Nigeria, Kenya, Egypt, Angola n.k) tuache tabia ya kuimprovise na kuacha miji ijijenge yenyewe, kwa style hii we will never have beautiful cities kwa mahitaji ya muda wetu. Kigamboni hiyo imeachwa sasa inazidi kuvamiwa……baadae ndio utasikia tujenge sasa, gharama za kufidia zimeishakuwa mara kumi ya sasa. Ujuha huu.