Hao jamaa ni uharo hawana hata uwezo wa ku dispose kinyesi chao itakuwa upgrade ya MGR?Ah
Sasa kama ni kurekebisha MGR si waongee na TRC tu hapa wawarekebishie? Mbona Uganda wamefanya vizuri tu kurekebisha from Port Bell? Uhuru aongee na Mama tu watu wakachape kazi. Asione soo.....