Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FCmEMLwX0AI3QU1
Kenya nchi yangu, yani nchi ndogo lkn road network kubwa kuliko majirani
 
Natumai umejionea mwenyewe kwenye hio list kwamba Egypt wapo number 151 huku Kenya ipo number 82 na Tanzania 83. Egypt kwenye demokrasia wao ni shit-hole. Halafu nchi nyingi za kiarabu na middle east ni shit-hole kwenye demokrasia ikiwemo akina UAE na hata Saudi Arabia, Iran na Turkey
The most recent list Tanzania ranked higher than Kenya, this is old one
 
Uganda wameanza kuviziwa na magaidi. Milipuko imeanza kitembea. Cha kushangaza ni kuwa hawa Shabab wanaiogopa Kenya yaani wanapitia Kenya bila kutulipua wanakwenda kulipua Uganda.
Wanawezaj kupitisha vilipuz keny alaf washindwe kuwalipua.?
 
Back
Top Bottom