Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huelewi maana ya neno demokrasia unataka ufundishwe kama mtoto mdogo. Demokrasia ni pale ambapo wananchi wenyewe wanapatiwa fursa ya kumchagua kiongozi wanaomtaka. Hata kama viongozi wote wanatokea kabila moja hakuna shida. Tofauti ya Egypt na Kenya ni kwamba Kenya raia wanapatiwa fursa ya kumchagua rais wao ilhali huko Egypt raia hawapati fursa ya kumchagua rais wao, wanatawaliwa kimabavu.
Mbona wananchi hawakupewa nafasi ya kumachagua Saitoti?
Marekani bado haijapata rais mwanamke ila sijasikia ukipinga kwamba Marekani ina demokrasia ya kweli.
Kwani ni lazima rais awe mwanamke au LGBTQIA ndiyo kuwe na demokrasia?

FYI, 2016 ndani ya democrat, kuna wafuasi wengi wa Bernie hawakumpigia kura Hillary, ndiyo maana akakosa kura muhimu kwenye zile swing states. Hata hivyo, chaguzi za rais zinatumia mfumo wa electoral college ambao siyo demokrasia unayoiongelea wewe.
 
Mbona wananchi hawakupewa nafasi ya kumachagua Saitoti?

Kwani ni lazima rais awe mwanamke au LGBTQIA ndiyo kuwe na demokrasia?

FYI, 2016 ndani ya democrat, kuna wafuasi wengi wa Bernie hawakumpigia kura Hillary, ndiyo maana akakosa kura muhimu kwenye zile swing states. Hata hivyo, chaguzi za rais zinatumia mfumo wa electoral college ambao siyo demokrasia unayoiongelea wewe.
Wewe nadhani una kichaa si bure, wewe nenda kapimwe. Kwa hivyo huna tatizo Wamarekani wasipomchagua rais mwanamke na wamechagua rais wanaume pekee kwa miaka zaidi ya mia mbili ila una tatizo kwamba Wakenya wamechagua rais kutoka kabila mbili kwa miaka chini ya sitini? Why are you contradicting yourself?
 
George Musengi Saitoti, naye alishindwa kwasababu ya kukosa kura za wengi?

Nataka unieleze ni lini George Saitoti amewahi kugombea Urais? Ni lini jina lake limewahi kuwa kwenye kura ya urais? Mwaka gani Saitoti aligombea urais hebu tueleze sisi wajinga tusioelewa haya mambo?
 
Uganda wameanza kuviziwa na magaidi. Milipuko imeanza kitembea. Cha kushangaza ni kuwa hawa Shabab wanaiogopa Kenya yaani wanapitia Kenya bila kutulipua wanakwenda kulipua Uganda.
 
Screenshot_20211026-133024.jpg
 
Back
Top Bottom