ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 73,368
- 136,581
Tena mwaka ujao watabutuana vibaya sanaJamaa wameanza malumbano ikumbukwe ni viongozi hao🤣🤣🤣daaah sijui raia itakuaje kama leaders ndo hawa 🙄
ichoboy01 View attachment 1985809
Mbili zilishakuja na hzi zimekuja 2 so total 4 na zote zipo nchini usichanganyikiwe 🤣🤣🤣 ukumbuke ni airbus mzeea 2015 order 2021 delivery? and only 2 of 13? how unserious are you to achieve such incredible record breaking low speeds!
Lazima ampendw jpm ndio awe huru Moderator Admin1988Geza amekula ban anafaa akule ban ya maisha. Anakosa aje kumpenda jpm ?View attachment 1983869
We endelea kutema pumba alafu uone km utaipata, we hapa lazima uimbe mapambioFaida zake ni zipi mkuu ili nasi tuanze mchakato ikitupendeza
Bwhaha!!emu kimbia na wewe uone km utakua mwanajeshi wa marekani..Huo ni ujinga mkenya hakiona maisha yamempiga chenga anakimbilia kuwa mwanajeshi marekani, kwa afrika nyie ndio mnaongoza kwa Huo ujinga
Ndio nakwambia we ukipewa zipeleke yard zikaozee hko utafute za kwako..Narudia sina haja ya kurithi tuje kutoana macho , kama mzazi alipigana akaweza kwanini ww ushindwe badala yake uwaze kurithi?
Tofaut ya newyork na dar au nairobi ni moja tu
Newyork is developed city
Nai and dar are developing cities
Hope umeelewa🤣🤣🤣🤣
Uchumi has nothing to do with primitivity. Samburu na Turkana wanaweza kuwa wanamililiki "thousands" ya mifugo lakini bado wanaishi maisha ya chini (Primitive), bado hawana Nyumba nzuri, bado wanapigana na kuuana hovyo, hawana maji safi na salama, wanabaguana, wanakufa kwa njaa, hakuna security,... Very primitive life like Kenya despite of their big number of cattle.Sasa tribalism na uchumi wapi na wapi? Tribalism ni mambo ya siasa sio uchumi. Ni kweli siasa yetu ina tatizo lakini hio inahusiana vipi na uchumi? Kuna nchi ambazo pia zina tribalism na zinafanya vizuri kiuchumi kwa mfano Afrika Kusini ambao wana ubaguzi wa racism na pia Xenophobia dhidi ya Waafrika weusi. Uchumi wa nchi unaweza kukuwa kwa kasi hata kama nchi hio ina tribalism.
Sasa mbona huko kwenu mnabaguana?Wanyama wanabaguana wewe mzee kwani hujui? Lini umemuona Simba akifanya ngono na punda milia? Binadamu ndio wanyama ambao hatustahili kubaguana maana tukibaguana inaleta vita na uadui.
Sie hatuna haraka ni kidogo dogo tu mambo yetu
Mbili zilishakuja na hzi zimekuja 2 so total 4 na zote zipo nchini usichanganyikiwe 🤣🤣🤣 ukumbuke ni airbus mzee
Mbona mimi sioni hoja zako other than 'umeishiwa na hoja'? Yani ukweli umekukaba koo hivi? 🤣We jamaa kweli Una matatizo na umeishiwa hoja kweli MFA maji haishi kutapatapa endelea kujifurahisha🙂
Nani kasema banks run your economy? I simply mentioned your banks are owned by Indians and Arabs. Alafu 36.7% of your economy no service industry which includes banks - usisahau Hilo.Biashara in what area,
Banks zipi?
Our top 3 banks in Tz are
1. NMB
2.CRDB
3.NBC
Can you prove witn data how those you mentioned run the economy ?
Kumbuka uchumi wa Tz unachangiwa na Agriculture , Services, Mining, Tourism, manufacturing, Telcom, Finance …
Nitajie top 20 ya matajiri wa Kenya.Nani kasema banks run your economy? I simply mentioned your banks are owned by Indians and Arabs. Alafu 36.7% of your economy no service industry which includes banks - usisahau Hilo.
Tanzania - share of economic sectors in the gross domestic product 2022 | Statista
This statistic shows the share of economic sectors in the gross domestic product (GDP) in Tanzania from 2012 to 2022.www.statista.com
Na bado hiyo tourism unayoongelea stakeholders sii Wafrika weusi. Pia usisahau Hilo. Manufacturing vile vile stakeholders Sio Wafrika weusi. Mining - same thing. In fact hapo the only thing yenye Ina stakeholders weusi ni Agriculture.
Mkuu, first delivery zilikuja 4,sasa hivi 2 so total 6.Mbili zilishakuja na hzi zimekuja 2 so total 4 na zote zipo nchini usichanganyikiwe ukumbuke ni airbus mzee