Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi ndio tumekuwa juu yenu miaka zote sema wakati huu watu wanafungiana mipaka so ranking yetu imeshuka. Akina UK na US wakianza kufungua mipaka yao basi ranking yetu itapanda. Kumbuka sisi tuna marafiki wengi ulaya kuwashinda nyie.
sasa kama mulikua juu yetu mutambue hii sio ile tz ya 90s mark my words

hahha eti munamarafiki wengi 😂😂
 
Beach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.
Kabla ya COVID-19 Tanzania's tourism revenue ilikua mara mbili ya Kenya
 
sasa kama mulikua juu yetu mutambue hii sio ile tz ya 90s mark my words

hahha eti munamarafiki wengi 😂😂
Kwenye diplomasia Kenya inawapiga mnakaa chini. Usilete ligi kwa vitu ambavyo tuliwapiga zamani. Kwanza idadi ya embassy pekee Kenya ina embassy nyingi ulaya kuwashinda. Hata likija swala la idadi ya marais wa nchi zenye nguvu unakuta Kenya imepokea marais hao wengi kuwashinda. Kwa utawala wa rais Uhuru pekee tumepokea rais au Waziri mkuu wa S. Korea, Israel, India, USA, UK, Italy, France na Japan. Usicheze na Kenya weweee. Tafuta ligi yako kijana. Nenda katafute ligi na burundi sio Kenya. Kwanza Japan alihost Africa summit hapa Nairobi in 2016. Shinzo Abbe alikuja na serikali yake karibu yote na marais wa Afrika pia walikuja Nairobi kwenye hio summit.
 
Screenshot_20211021-144048.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20211021-144048.jpg
    Screenshot_20211021-144048.jpg
    36.9 KB · Views: 1
Beach yenyewe imefungw kwa sababu ya Covid-19. Nyinyi kwa ulafi mkali mliamua kutofunga hoteli zenu ili mpate mapato kutoka watalii kutoka Urusi na Ukraine. Sisi tukifungua hoteli na beaches zetu basi mtatoka kwenye hizo rankings na sisi tutarudi kwenye hizo rankings.

Zenji ilikua imezidiwa na Diana kwa sababu mlikua mmetuzidi kwenye kubrand vivutio zaidi ya hapo hamna lolote kwa afrika hamna bichi inayoweza kutia guu mbele ya zanzibar labda ushelisheli tuu, bichi za Zenji ni nzuri mzee hata wewe unajua hilo
 
Wazungu wenyewe ndio wanasema Diani ni beach bora Africa. Hio sio kauli yangu.
 
Mm mwanzo nilidhani ule uwanja hautumiki,kumbe ndege zinatua pale,ila jamaa mmoja humu anapiga kelele Sana,aise!
Hiyo Geita hapo kwa wasio jua ni ule uwanja mpya uliopo Chato ambao baadhi ya watu humu huwa wanakamatika na zile cheap politics za jukwaa la siasa.

ATCL wanaenda Geita (Chato) mara tatu kwa wiki.
 
Back
Top Bottom