Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah aisee ni bora,,sasa city inakuja kwenye muonekano wake,,clean vision
Shida ya hawa ndugu zetu ni uchafu, sio wastaarabu kabisa, utakuta wanamenya miogo maji wanamwaga barabarani, alafu unakuta wanajenga mavibanda yenye sura mbaya mixa ma naylon yaliyochoka, ss hapo hata mkijenga infrastructure nzr kiasi gani ni kazi bure cz uchafu unaharibu aesthetic ya eneo husika hata kama lina infrastructures za gharama, mfano Kenya unakuta building nzr lkn mahwker wanaharibu muonekano kwa mauchafu yao plus flying toilets, kwa hili nasema nipo pamoja na serikali.
 
Halafu kuna tabia moja mbaya sana na inayonikera mno, unakuta mtu anatembea on tarmac road zen anatema makohozi, yn wanyonge wkt mwingine ni watu wasio wastaarabu kabisa, unawezaje kufanya ushenzi kama huu mtu mzima? Nimewataja wanyonge mana 90% ya wanaofanya ushenzi huo ni hawa watu wanaoitwa wanyonge, kama una tabia ya kutema tema mate hovyo c utembee na kopo? Napendekeza sheria iwekwe kwa mshenzi yeyote atakayefanya upumbavu huu faini imuhusu, hatuwezi kuwa na watu wa kizazi cha Nyerere karne ya 21 bhn.
 
Itafika wakati Wanyonge wasiruhusiwe kabisa mjini, unakuta road ni ya BRT lkn wanyonge ndiyo road yao na maboda boda yao, wanyonge ni watu wasumbufu mno, huwa tunawatetea ndio lkn ustaarabu kwao zero. Wanyonge wanyonge wanyonge mnatuharibia mji.
 
Back
Top Bottom