Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nashkuru mjumbe wa kamati nachukua nafas hii kumteua Teargas aje kujibu hoja asanteni sana

Umefanya vizuri kutuchagulia mtu mwenye Hela zake

IMG_1854.jpg
 

Very Cheap bro!!!kama hapo ni kwako unanialika nina dili ya job poa mahali!!!sikupi!!!.Coz hiyo ni part of my interview!!! You lack art, creativity and exposure pia, kwa kifupi wewe ni mshamba!!!How comes una vitu cheap hivyo, better buy kidogo kidogo those furnitures and appliances ila vitu vinavyo make statement!!!
 
Back
Top Bottom