Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usimsikilize huyo mzee ni kama malaya wa kisiasa tu, ukitaka kuamini hebu jiulize sie yeye aliyekuwa akifungua news kila kukicha akimsifia JPM? Huyo ni malaya wa kisiasa kama malaya wengine tu usimtilie maanani.
Hilo ni shoga linajiuza ccm sasa hivi bwanazake ni team SA100
 
JNHPP imalizike mapema tuwaokoe hawa ndugu zetu wanateseka sana hadi huruma.

Suffering for Kenyans as Electricity Cost Rises Despite Reduced Fuel Prices

Citizen TV

Oct 15, 2021 6:45 AM

In Summary

According to new tariffs for the month of October gazetted on Friday by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA), the fuel cost charge (FCC) will shoot to Ksh.3.97 for every unit of power consumed compared to Ksh.3.88 in September.

Meanwhile, the foreign exchange adjustment levy has risen to Ksh.1.04 from a lower 76 cents last month.

The higher fuel cost charge reflects the impact of greater landed costs for petroleum products from which heavy diesel oil is deployed in electricity generation from thermal sources such as generators.

The relief marked by Kenyans at the pump on Thursday has been short-lived with October electricity costs set to go up to stick above the already record highs.

According to new tariffs for the month of October gazetted on Friday by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA), the fuel cost charge (FCC) will shoot to Ksh.3.97 for every unit of power consumed compared to Ksh.3.88 in September.

Meanwhile, the foreign exchange adjustment levy has risen to Ksh.1.04 from a lower 76 cents last month.
The water resource management authority levy is however unchanged at a mean two cents, the same as in September.

The higher fuel cost charge reflects the impact of greater landed costs for petroleum products from which heavy diesel oil is deployed in electricity generation from thermal sources such as generators.
The higher FX adjustment charge is on its part a reflection of weakened local currency with the shilling trading at a new Ksh.111 low against the dollar this week.

The shilling has lost about 1.5 per cent of its value this year against the US dollar.
Combined, the greater tariffs will send the cost of electricity beyond Ksh.25 per kilowatt hour in the October billing cycle.

This will be the highest cost of electricity in more than three years since early 2018 negating any temporal relief from cheaper fuel or cooling inflation this month.
Higher electricity costs at this time are however ironic as they come on the backdrop of reforms to the energy sector to include an audit of the electricity costing formula and that of utility firm Kenya Power.
Put together, the proposals desire to ambitiously bring down the cost of electricity to around Ksh.16 per unit/kWh by the end of this year

Screenshot_20211017-062040_Opera.jpg
 
Inawezekana Geza Ulole kwamba kwa sababu ya culture mbaya ya kumuogopa Hayati Magufuli, mawaziri wenyewe walikuwa wanasukuma miradi hii ijengwe Chato badala ya maeneo mengine ili kumfurahisha Magufuli. Naye Magufuli kwa kupenda nyumbani, hangekataa miradi hio kuja nyumbani. Inawezekana miradi hii ilikuja Chato kwa sababu ya mawaziri kujaribu kujipendekeza kwa rais Magufuli?
Mnadhani SGR itabeba mbuzi? wacheni miji ijengwe msifikiri mtabeba mizigo ili hali sgr ya tz tu inachukua zaidi ya miaka 7, je mpk ifike Drc si miaka 15? wakati wote huo biashara za abiria lazima ziendelee, sasa nyie komaeni tu Chato, chatoo, jengeni miji huko watu wahamie ili Kufungua Tanzania, au mnapenda tu kila siku Dar vs Dodoma?
 
Inapita, uwanja wa ndege Tshs 60 bln! hospitali ya Rufaa ni zaidi ya Tshs 20 bln, kuna hoteli ya nyota tatu zaidi ya Tshs 15 bln, stendi ya mabasi zaidi ya Tshs 10 bln na machinjio na mnada zaidi ya Tshs 10 bln! mbaya malipo haya hayakupitishwa na Bunge! Siwezi kuwa mnafiki aisee kusema ati ni sawa! Hata siku moja! Hapo jengo la Tanesco, jengo la CRDB, jengo la mahakama, jengo la zimamoto, soko la Chato, chuo cha VETA, uwanja wa mpira, nyumba za polisi, nyumba za NHC na kivuko cha Chato havijaguswa! Ule ni wizi siwezi kuunyamazia tena akapeleka kijijini kwake wilayani Chato badala ya Geita Town!
Sawa basi nyamaza yaishe, kwani hizo nyumba niza Jpm?
 
Ndio within 9 years Uhuru amejenga 10,000 km of tarmack. Najua hamuamini lakini sisi sio malazy kama nyinyi. Ama wacha nitafute hio report niilete saa hii japo itanichukua muda kidogo. Munipe dakika 30 nitafute hio report ya KNBS iliyotolewaa mwaka huu.
Wacha kuongea km unaongea na watoto hapa, alafu unakaza misuli kuongea utumbo, kuna aticle ililetwa humu ikionyesha mnajenga km 200 mpka mia tatu kwa mwaka...ndio mjenge km 10000
 
Wacha kuongea km unaongea na watoto hapa, alafu unakaza misuli kuongea utumbo, kuna aticle ililetwa humu ikionyesha mnajenga km 200 mpka mia tatu kwa mwaka...ndio mjenge km 10000
Kama nyinyi mnaweza mbona sisi tusiweze? Naskia Jakaya aliweza kujenga 10k in 10 years mbona Uhuru ashindwe?
 
Inapita, uwanja wa ndege Tshs 60 bln! hospitali ya Rufaa ni zaidi ya Tshs 20 bln, kuna hoteli ya nyota tatu zaidi ya Tshs 15 bln, stendi ya mabasi zaidi ya Tshs 10 bln na machinjio na mnada zaidi ya Tshs 10 bln! mbaya malipo haya hayakupitishwa na Bunge! Siwezi kuwa mnafiki aisee kusema ati ni sawa! Hata siku moja! Hapo jengo la Tanesco, jengo la CRDB, jengo la mahakama, jengo la zimamoto, soko la Chato, chuo cha VETA, uwanja wa mpira, nyumba za polisi, nyumba za NHC na kivuko cha Chato havijaguswa! Ule ni wizi siwezi kuunyamazia tena akapeleka kijijini kwake wilayani Chato badala ya Geita Town!
Kwaiyo chato ndio ilijengwa zaidi Tanzania sio? Huwa unakuwa na akili mbaya hivyo
 
Kama nyinyi mnaweza mbona sisi tusiweze? Naskia Jakaya aliweza kujenga 10k in 10 years mbona Uhuru ashindwe?
Wacha maneno matupu , kikwete pamoja na kujenga kwakwe kote alishia km5000 plus ndani ya miaka kumi, ivi unazijua km10000 ww
 
ingia website ya TAMISEMI wame-clasify vigezo vya miji na majiji na mipango miji pia!

Chato Bus Stand (Tshs 6bln awamu ya kwanza)

Geita Town Bus stand
ED9d-HkWwAAhPK9

Tuwe wakweli Kuna fedha ilitumiwa vibaya pale Chato.Kuna mikoa Kama Lindi,Kagera,kigoma,Tabora bado haina stend za kisasa tena inahost mabasi mengi why ujenge wilayani Chato ambapo yanapita mabasi ordinary na ya Mashambani tu.
 
Halafu hakuna kitu kinanikera km watu kumtusi na kumfananisha magufuli na huyu mwanamama mpumbavu Samia suluhu Hassan.Hususan huyu jamaa aitwaye opportunistic cost Hana akili kabisa.Eti anamlinganisha Samia Suluhu na Magufuli.Hata haya Hana.
Rudisha akili naona umezisahau mahali
 
Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

Kikubwa chato nayo ni Tanzania sioni ubaya wowote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musoma si ndio HQ ya mkoa wa Mara.
Sisi wa wilaya ya Musoma Mjini tumejengewa Hospitali ya rufaa iliyowashida maraisi wa 4 waliomtangulia JPM na uwanja wa ndege unapanuliwa, sas sijajua na sisi tulipendelewa au?au utakua sisi tupo kisheria na Chato haipo kisheria.., nlitaka kusahau na barabara za lami za mitaani na mitaa km yote...
 
Bila uthubutu wa JPM wala huyu muharibu uzi asingeota kufungua huu uzi wa SGR comparison.
Halafu leo hii yupo hapa kupiga panganga!

Ushindani wa Tz na Kenya haukuanza na Jamiiforum nimeanza kusoma ushindani huo way back 2013 kupitia kurasa za magazeti ya Kenya EastAfrican,Daily Nation.Pia ingia Google utakuta Kuna kurasa nyingi za Tz Economy v Kenya,Kuna kurasa za Will Tanzania overtake Kenya soon nk..Hivyo basi ushinda kiuchumi haujanza 2015 ila Jamiiforum Dar v Nai ilikuja kwa Moro kwa kua wachangiajo ni wengi kuliko kwenye kurasa za www....
 
Back
Top Bottom