Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee I have never heard about stand ya malori hapa EA, hata Dar kwa kweli. Safi sana
emoji91.png
emoji91.png
emoji91.png
emoji91.png
emoji1241.png
View attachment 1974239
Hizi zipo tu mbona bro, hata Tanga ipo moja ..nilipigipa hii picha nikiwa ndani ya gari 👇
IMG_20210904_160214_735.jpg
 
Unaona unafiki wa corona na chanjo zake?

Tanzania, waliochanja ni chini ya 0.006% hii asilimia ni statistically insignificant. Sasa ni nini kilichoifanya Tanzania leo kuwa "safe" ?

nimeelewa lengo la ujumbe wako na ninaunga mkono.. lkn hizo hesabu haziko sahihi
waliochanjwa wanakaribia 1m.. total estimated popu ni 60m

(1m/60m)*100=1.67%
 
bado ulioweka ni ndogo.. 0.1% ya 60m ni 60,000

kwamba kama walichanja 60,000 .. percent yake ni 0.1%.. wew umeweka 0.006

(60,000/60,000,000)*100%=0.1%
Du, kweli nina personal issues na hizi chanjo maana emotions zinazidi logic.

Ni hivi mwanzoni nilichukulia kadirio la watu 400,000 waliochanjwa kutokana na data za mwisho nilizozipata (sawa na 0.6% ya watanzania wote). Ila kama wameongezeka kufikia laki sita bado ni kiasi kidogo sana cha 1%, kama ulivyosema.
 
Back
Top Bottom